GE2025 Babalevo ni Traore wa Kigoma mjini asipuuzwe, uongozi siyo elimu!!

GE2025 Babalevo ni Traore wa Kigoma mjini asipuuzwe, uongozi siyo elimu!!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana?

Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo?

Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
 
But seriously baba levo anaweza kuchambua vifungu vya Sheria? Kumshauri serikali, etc
 
We mjuba unaandikaandika sana humu, ina maana hujui matumizi ya l na r? Traore unaandika Traole, are you serious?
 
Hii yoote sababu ya mifumo kusomana ndiyo mzizi wa tatizo
 
1756093921157.png
Babalevo ni Level nyingine kwakweli!
 
Hao ndio watunga sheria.

Kwakweli hilo la mbunge kufanya nini huwaga ni propaganda tu maana kila kitu serikali kuu ndio inaamua.

Yaani mbunge ni kama geresha maana kama serikali ilipanga barabara fulani ijengwe wakati fulani huyo mbunge hata aingie na chupi bungeni haijengwi.
 
Kumbe baba levo ni mbunge. Nachojua mimi ni at aende a kugombea wa ubunge kwa Tiketi ya chama cha Mapinduzi
 
We mjuba unaandikaandika sana humu, ina maana hujui matumizi ya l na r? Traore unaandika Traole, are you serious?
Ilo ni jina la mtu na wala silo la kibantu vile vile sio neno linalotumika mara kwa mara kusema kwamba kila mtu analifahamu, sio kila kitu nikucriticize
 
We mjuba unaandikaandika sana humu, ina maana hujui matumizi ya l na r? Traore unaandika Traole, are you serious?
Hilo ndilo umeambulia kwenye huu uzi eti na umeona bonge la issue?mbona umeelewa nini nilimaanisha nani mjinga sasa au umewezaje?
 
Hao ndio watunga sheria.

Kwakweli hilo la mbunge kufanya nini huwaga ni propaganda tu maana kila kitu serikali kuu ndio inaamua.

Yaani mbunge ni kama geresha maana kama serikali ilipanga barabara fulani ijengwe wakati fulani huyo mbunge hata aingie na chupi bungeni haijengwi.
Soma historia ya bunge wabunge waliofanya vizuri tangu ukoloni ni ambao hawakusoma,mkoloni hakuwaamini wasomi weusi hata kidogo ndani ya LEGCO
 
Haya ni majukumu ya mbunge ambayo binafsi nayatambua, na kati ya hayo ni mengi tu mtajwa hapo juu anaweza kuyatekeleza vizuri.

Kutunga sheria

Kuwakilisha wananchi

Kusimamia na kudhibiti serikali

Kupitisha bajeti ya taifa

Kuchagua na kuthibitisha viongozi

Kushiriki katika mijadala ya kitaifa

Kuelimisha na kuwahamasisha wananchi

Kushiriki katika kamati za Bunge

Kuhakikisha demokrasia na utawala bora

Hii pia ni msukumo kwetu vijana tunaojiona tunaakili nyingi na tunaojiona Bora kuliko mtajwa hapo juu, ni wakati sasa wa kushiriki vinyang'anyiro vya uongozi nasio kupiga makelele huyu hawezi huyu hawezi, wewe unayeweza jitokeze ukatuwakilishe ili tuwe na wabunge wanaoweza kutuvusha.
 
Hilo ndilo umeambulia kwenye huu uzi eti na umeona bonge la issue?mbona umeelewa nini nilimaanisha nani mjinga sasa au umewezaje?
zingatia kanuni za uandishi mjuba, acha kutokwa povu unaposahihishwa
 
Acha kumvunjia heshima Ibra....Ibrahim hawezi kufunga viatu vya mwanaume mwenzie ili apate chochote kitu
 
Kwa kuwa kigezo Cha kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika ndo maana sishangai tena watu dizaini labda tubadilishe hizo qualifications kama kweli tuko serious na mustakabali wa taifa letu
 
Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana?

Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo?

Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
Nakuona baba REVO unajipakulia minyama
 
Kwahiyo kgm town huyu no thinking machine yenu🫣🫣🫣😡😂 ole mtoto aniletee mkwe kutoka kgm
 
Back
Top Bottom