HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ilo ni jina la mtu na wala silo la kibantu vile vile sio neno linalotumika mara kwa mara kusema kwamba kila mtu analifahamu, sio kila kitu nikucriticizeWe mjuba unaandikaandika sana humu, ina maana hujui matumizi ya l na r? Traore unaandika Traole, are you serious?
Hilo ndilo umeambulia kwenye huu uzi eti na umeona bonge la issue?mbona umeelewa nini nilimaanisha nani mjinga sasa au umewezaje?We mjuba unaandikaandika sana humu, ina maana hujui matumizi ya l na r? Traore unaandika Traole, are you serious?
Soma historia ya bunge wabunge waliofanya vizuri tangu ukoloni ni ambao hawakusoma,mkoloni hakuwaamini wasomi weusi hata kidogo ndani ya LEGCOHao ndio watunga sheria.
Kwakweli hilo la mbunge kufanya nini huwaga ni propaganda tu maana kila kitu serikali kuu ndio inaamua.
Yaani mbunge ni kama geresha maana kama serikali ilipanga barabara fulani ijengwe wakati fulani huyo mbunge hata aingie na chupi bungeni haijengwi.
Achambue vifungu vya sheria kwani yeye mwasheria,angalia hili jinga nalo!!But seriously baba levo anaweza kuchambua vifungu vya Sheria? Kumshauri serikali, etc
zingatia kanuni za uandishi mjuba, acha kutokwa povu unaposahihishwaHilo ndilo umeambulia kwenye huu uzi eti na umeona bonge la issue?mbona umeelewa nini nilimaanisha nani mjinga sasa au umewezaje?
Mbunge sio mshauri wa raisBut seriously baba levo anaweza kuchambua vifungu vya Sheria? Kumshauri serikali, etc
Jamaa yangu bunge la wakoloni tena??Soma historia ya bunge wabunge waliofanya vizuri tangu ukoloni ni ambao hawakusoma,mkoloni hakuwaamini wasomi weusi hata kidogo ndani ya LEGCO
Nakuona baba REVO unajipakulia minyamaWalikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana?
Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo?
Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
Mbuzi kama wewe huwezi kunisahihisha halafu MJUBA ni mama yako siyo mimi nenda na rika lako.zingatia kanuni za uandishi mjuba, acha kutokwa povu unaposahihishwa