HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
-
- #21
Huwezi ukaelewa umuhimu wa LEGCO kwani wewe ni wa kulishwa kila jambo lina historia yake na huwezi endelea bila kujua na kurejea historia yako.Jamaa yangu bunge la wakoloni tena??
Hao ndio waha wa KigomaBut seriously baba levo anaweza kuchambua vifungu vya Sheria? Kumshauri serikali, etc
Huo ndiyo upeo wa uelewa wako kama kuna wabunge wa viti maalumu vipofu,vilema,bubu,zeruzeru,wanawaake,nk kwanini kusiwe na wabunge wenye elimu inayokubalika kisheria mtu kuwa mbunge?Kwahyo hoja zenu kuu ni kwamba ninyi ni vilaza(Hamkuenda shule) hivo tuwapigie kura kwa sababu nyie Hamna elimu?.
Baranara ngapi hazijajengwa bwana hadi leo acheni double standard zenuHao ndio watunga sheria.
Kwakweli hilo la mbunge kufanya nini huwaga ni propaganda tu maana kila kitu serikali kuu ndio inaamua.
Yaani mbunge ni kama geresha maana kama serikali ilipanga barabara fulani ijengwe wakati fulani huyo mbunge hata aingie na chupi bungeni haijengwi.
Huo ndiyo upeo wa uelewa wako kama kuna wabunge wa viti maalumu vipofu,vilema,bubu,zeruzeru,wanawaake,nk kwanini kusiwe na wabunge wenye elimu inayokubalika kisheria mtu kuwa mbunge?
Basi wapiga wote wawe wasomi ili wapigiane kura wenyewe kwa wenyewe kwanini mtake kula ya wasio wasomi??
Zinajengwa kwa influence ya mbunge??Baranara ngapi hazijajengwa bwana hadi leo acheni double standard zenu
Sasa mkuu anaerukia uzungu ni mimi au wewe?? Wewe ndo umetaja uzungu hapo kuthibitisha uhalali wa madai yako, ajabu unandika mimi ndo ninarukia uzungu tena.Huwezi ukaelewa umuhimu wa LEGCO kwani wewe ni wa kulishwa kila jambo lina historia yake na huwezi endelea bila kujua na kurejea historia yako.
Tatizo mnarukia uzungu usio historia yenu!!
Kutokwenda shule siyo ujinga bwana bali kuamini hivyo kama unavyoamini wewe ndiyo ujinga,je hakuna walioenda shule waliowajinga?je hakuna wasioenda shule wenye akili na wamefanikiwa kuliko walioenda shule?wewe naelimu yako ndiyo unawaendeshea maisha wasionda shule?Leteni Hoja/sera za Mgombea wenu tumpigie kura, Au Ujinga wa kuto kwenda shule nao ushakua Ubunge wa viti maalumu?