Elections 2010 Babati - Hanang:Hapa Vipi?

Elections 2010 Babati - Hanang:Hapa Vipi?

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Sehemu_ya_ujenzi_wa_barabara_ya_Babati-Hanang-Manyara.JPG

Ujenzi wa Barabara ya Babati - Hanang ukiendelea.
 
Mi nina wasi wasi kama hiyo kweli itaendelea baada ya uchaguzi, mbona kazi inaonekana magumashi!!!
 
Mi nina wasi wasi kama hiyo kweli itaendelea baada ya uchaguzi, mbona kazi inaonekana magumashi!!!

ndo maana naipenda JF.Kuna watu wengi sana hapa hawajui sifa za taifa lililo katika economic transition,na hawa ndo mtaji wa wanasiasa wa msimu.
 
mechelewa sana hii barabara....50 years fater independence :confused2:

doh!nyerere ilikuwa 24 years after independence.!sasa ulitaka barabara labda ijengwe lini.unajua wanaosoma hizi comments wanaishshia sifa hii forum?
 
kuna daraja muhimu sana pale kolo (kondoa) lika kama miaka mitano sasa tangu livunjie... kolo ni antiquity na world cultural heritage site na daraja hilo linaunganisha cape to cairo, naomba picha zake mkuu tandalaone
 
Naomba muda kidogo nikague mafaili boss wangu.
 
kuna daraja muhimu sana pale kolo (kondoa) lika kama miaka mitano sasa tangu livunjie... kolo ni antiquity na world cultural heritage site na daraja hilo linaunganisha cape to cairo, naomba picha zake mkuu tandalaone

Vipi,huo ujenzi hapo unauonaje?:becky:
 
Why this time?

U wanted the government to stop all projects simply because we are going fpr elections???C'mon!Five me a break!Hivi huwa unafikiria kwa makini kweli?
 
Hiyo barabara ikikamilika itakuwa safi sana...Isije ikaishia njia panda GE ilipita!
 
Hahaaaa! MI siwezi kukuweka kwenye ignore list bana! Huwa unanifanya nijue zaidi Kuwa tz kuna wanaume was*e*g* kuliko ninavyodhani!
 
Naona kama anavyodoka anajua kinachompata vile.........kutokana na ule mshangao wake wa kwanza kabla hajadondoka
 
Back
Top Bottom