Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Ila bado ana uwezo wa kujitetea maana mke wa mtu saa kumi usiku haupo ndani na mume alimuacha ndani atakuwa ameenda wapi?
Ninavyojua utetezi ni "Crime of passion", hiyo inatokea ukishtukizwa bila kujua. Unarudi zako home, unafungua mlango wa jikoni, ghafla mkeo yuko na houseboy wanakulana juu ya sink; unachukua kisu, unakandimiza kwenye shingo.

Sasa jamaa kama ni kweli aliandaa mtego, ina maana alitengeneza mazingira ya kwenda kufanya violence. Najua ataonewa huruma lakini haya ni mauaji ya kupanga kabisa.
 
Ila babati ngono nje nje. Kuna dada nilienda k tembelea kwake mchana nashangaa nimefika tu kaingia bafuni kajiosha katoka mtupu. Nilishindwa vumilia rangi imekolea, milk standing, paja nene na kaushuzi kamechomoka. Nikamkula for lunch. Sijui ndo kimasihara.
 
Huyo Michael Jackson naye alizidisha dharau, yaani kumfuata Mke wa Mtu nyumbani lazima alimchukulia jaaa kama Zoba fulani...sasa nadhani amevuna alichokipanda.
 
Sasa wewe siyo mtu wa panga, ni sululu!
 
Naiona manslaughter ,siioni murder hapo.
Vipi kama itabainika kuwa jamaa aliweka mtego na s kwamba alirudi nyumbani kuja kufumania na kuua .hapo bado hana murder case?
 
Kidogo Sana. Angesikia akamtafuta na kumkata mapanga ingekuwa kesi tofauti, SASA kamkuta mgoni juu ya mkewe panga mkononi ulitaka achukue photoshoot? Wataalamu wanasema hiyo sio murder ni manslaughter.

Marehemu kafumwa anakula mbususu ya mke wa mtuhumiwa pale pale nyumbani kwa mtuhumiwa. High level of 'provocation'.

Wivu wa mapenzi ni nature. Kumfuma mke analiwa pale pale uwanjani kwa mume, systematically kibinadamu lazima mtu apate uncontrollable provocation!

Kisheria, provocation ni miongoni mwa utetezi unaokubalika.

Mauwaji yatokanayo na provocation ya fumanizi la mke wa ndoa, huwa ni mauwaji ya bila kukusudia (manslaughter).

Hapo hakuna murder. Hapo kuna manslaughter.

Adhabu ya Manslaughter: kifungo kuanzia 0 hadi maisha jela. So aweza fungwa miezi mitatu, au mwaka mmoja, n.k n.k It is on court's discretion kutegemeana na mazingira ya kosa husika. Maximum ni life imprisonment.

Murder ni capital offence, with capital punishment. Hadi sasa kwa Sheria zetu za nchi, adhabu ya murder ni moja tu: 'kunyongwa kwa kamba hadi umauti'.

-Kaveli-
 
Vipi kama itabainika kuwa jamaa aliweka mtego na s kwamba alirudi nyumbani kuja kufumania na kuua .hapo bado hana murder case?
Ingekua murder kama jamaa angewakuta wana duu, akakaa chini akalia afu a kaenda tafuta panga ndo akaua. Ila kwa kesi ya jamaa ame act at flagante delicto at the heat of passion/ at aggigated state of mind na kumbuka kulikua na accumulative provocation as MJ alikua anakula mzigo mara kibao na akaonywa but akaendelea.

Mm ningekua judge ningemua acquit aendee freely muda wa trial pending judgment atakao kaa ndani inatosha.
 
Kwa mazingira ya Hiyo kesi bado jamaa anaweza jitetea Maana teyari mkononi alikuwa na silaha na aliwakuta hao wazinzi nyumbani kwake tena muda mchache baada ya yeye kuondoka. Anaeza jitetea labda alisahau kitu nyumbani wakati anarudi kuchukua ndo akawafuma ..japo alikuwa anafahamu mke wake analiwa na uyo dgo.

Na huyo demu ni mjinga ajifunze kuchepuka kwa akili na mkono ndo hivyo hana tena.
 
mazingira usiyotarajia unawafuma kabisa
Mazingira yasiyotarajiwa ni wewe kurudi nyumbani na kufumania mtu... lakini "umeweka mtego", hiyo inaondoa kutokuwa na matarajio. Mkuu ukitega swala, maana yake una matarajio kuwa anaweza kunasa... na umejiandaa na panga kabisa, wewe ulikuwa na dhamira.
 
Unapigaje kifo cha mende kwa mke wa mtu???!! Hatari sana....alitakiwa ainamishe ili iwe rahisi kuona pande zote na rahisi kukimbia mambo yakiharibika!!! Ona sasa kafa kizembeeee[emoji24]
 
Walimuona Zombi kweli
Ukivaa viatu vya huyu Mwamba lazima utamtetea tu.

We fikiria Jamaa anapiga Mkeo, ina maana ukikatiza mahali ameketi na Wenzake anavuta fegi lazima anamgusa Mwenzake "Mcheki jamaa"...hapo ndio labda Jamaa anapita zake na zigo lake la kuni.

Marehemu Michael Jackson ni Mwana kulitafuta Mwana kalipata.
 
Sidhani kama unafahamu sheria kiasi cha kutosha.
Nafahamu kiasi cha kutosha kujua mtu anayemuua au kumjeruhi mwenzake kwa sababu ya mapenzi ni mhalifu hatari asiyepaswa kukaa uraiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…