wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wazee waache kutembea na watoto wao, 48-22=26, baba na mwana
, Mke wa mtu ni sumu
Mume wa mtu ni maziwa-Hadija Kopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee waache kutembea na watoto wao, 48-22=26, baba na mwana
, Mke wa mtu ni sumu
Magara sio watata sana kama watu wa majengo, mara nyingi matukio hutokea majengo, wale wasangu na wanyeramba duuh wanaroho ngumu hatarNdugu zangu wa hapo magara hamna tofauti na watu wa Yaeda chini kutembea na wake za watu mmeweka mbele Sana
Adhabu ya mzinifu n kuuawa king of pop WACKO JAKO KAFA KWA MARA YA PILI
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ana manslaughter......ameua bila kukusudia atachomoka baada ya muda kidogoHana kosa.
Kwani hakitoshi??.Wazee waache kutembea na watoto wao, 48-22=26, baba na mwana
, Mke wa mtu ni sumu
Kwasababu wewe ndo Mahakama na Jaji ni wewe mwenyewe.Hakuna kesi hapo, jamaa atafungwa kifungo cha nje
UzitoKwani hakitoshi??.
Hivyo kwako mtu kuwa kwenye hali hiyo ni upumbavu.!Hakuna wakili mzuri ataenda kupoteza muda wake kwenye kesi ya huyo mpumbavu.
Hivi kihalali ikiwa mtu atafumaniwa na mwenza wa mtu pasi na dhahama yeyote ileKwasababu wewe ndo Mahakama na Jaji ni wewe mwenyewe.
Nataka nihoji kwa wajuvi wa kisheria ili nione kama kama ilitungwa na watu wa asili ya inchi hiiHapa wapo wangese sana. Kwahio angefanyaje? Jamaa atatoka tu.
Sijui,labda Wanasheria waje watusaidie.Hivi kihalali ikiwa mtu atafumaniwa na mwenza wa mtu pasi na dhahama yeyote ile
Ni adhabu gani anayoweza kupewa na mahakama kwa mujibu wa katiba ya Tanzania
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sio tatizoUzito
Bindamu kuua mtu kwa sababu ya mapenzi ni zaidi ya uhayawani. Ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa.Hivyo kwako mtu kuwa kwenye hali hiyo ni upumbavu.!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hamna kesi hapoKesi ipo, atafungwa maisha kwa upuuzi wake.
Hapo kwa Michael Jackson tumepigwaDah Michael Jackson King of POP ametuangusha sana
Hujawah kutowambe wewe.Bindamu kuua mtu kwa sababu ya mapenzi ni zaidi ya uhayawani. Ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa.
Ana makosa.Hana kosa.
Pia maelezo ya kamanda ni Kama wapo upande wa mtuhumiwakesi hata bado haijaanza kusikilizwa,unasema aliwawekea mtego, haya maelezo ya muhandish hayatotumika mahakamani, na pia mshtakiwa hatosema kuwa aliwawekea mtego, sijui labda kwenye maelezo ya kuungama, hila hata hayo anaweza kuyakana pia mahakamani