Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Tatizo la kuowa vibinti vidogo tofauti ya umri ilikuwa kubwa
 
ipo mada kaweka mtego alijua exactly nini kitatokea akiondoka. kakwisha huyonkibabu mwenzetu
kesi hata bado haijaanza kusikilizwa,unasema aliwawekea mtego, haya maelezo ya muhandish hayatotumika mahakamani, na pia mshtakiwa hatosema kuwa aliwawekea mtego, sijui labda kwenye maelezo ya kuungama, hila hata hayo anaweza kuyakana pia mahakamani
 
Hata Mimi ningemkata Shingo huyo Michael Jackson.

MJ.jpg
 
Hakuna kesi hapo, jamaa atafungwa kifungo cha nje
“Alfred alishapewa taarifa kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na Jackson hivyo siku hiyo aliweka mtego ili aweze kuwafumani na ndivyo alivyofanya na kusababisha mauaji hayo,” amesema Ramadhan.

Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
 
Hamna kesi hapo.. Atasota mahabusu mwisho atarejea uraiani.

Akiwa mahabusu bibie ataigawa papuchi vilivyo japo mkono mmoja hauna kiganja dudadaki.

Marehemu nae atajua hajui huko mbele ya Mungu Baba.

Ushauri.. Mke wa mtu sumu.
 
Michael Jackson FEKI is no more. Uzinzi umemponza.
 
...Polisi bwana!? Sasa hapo Uchunguzi gani mwingine unaendelea wakati Kamanda ameishaweka kitu Wazi???[emoji853]
Mambo ya Nzi kufia kidondani hayo....
 
...Polisi bwana!? Sasa hapo Uchunguzi gani mwingine unaendelea wakati Kamanda ameishaweka kitu Wazi???[emoji853]
Mambo ya Nzi kufia kidondani hayo....
Atazikwa bongo hapa au atasafirishwa kwao ughaibun?? Maskin janet kampoteza kaka yake hivi hivi
 
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Hataree sana..uwii

Sitaki mapenzi
 
Back
Top Bottom