Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Shida ya kubeba vibinti vidogo na tochi imeisha betri.....utasaidiwa tu
No inawezekana anapeleka moto vizuri tu..
Ila tamaa za hao wazinzi ..

Binafsi niko kwenye age ya primary kijana but sipendi uhusiano na the same age coz huwa wana mambo ya kingese sana..

Mwanaume ambae kakuzidi kila kitu anakuwa anajua kuhandle mwanamke, na wana true love

Sasa the same age full wenge, kukudhalilisha, hajui kucare mwanamke zaidi ya kitombo cha kuunguza maku moto tu, eti hapo kamaliza
 
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Aliyefumania kwa muktadha huu hatakiwi kufungwa. Adhabu yake haitakiwi kuwa kubwa. It’s the reality.
 
No inawezekana anapeleka moto vizuri tu..
Ila tamaa za hao wazinzi ..

Binafsi niko kwenye age ya primary kijana but sipendi uhusiano na the same age coz huwa wana mambo ya kingese sana...
Sahihi, kudate na under age ni risk, na hii ina apply kwa jinsia zote ila balaa kubwa liko kwenu nyie ke. Kuhusu true love kuwa inaendana na age na kwamba umri zikiwa tofauti some how true love inakuepo sidhani.

Wako watu wana pretend kushow love na wako na umri kuwazidi wenzi wao love is complicated rafiki.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Wakili watamtetea, wakati akiwakata mapanga, alikuwa na akili timamu au iliyojaa na kufunikwa na hasira?! ..
 
Sahihi, kudate na under age ni risk, na hii ina apply kwa jinsia zote ila balaa kubwa liko kwenu nyie ke. Kuhusu true love kuwa inaendana na age na kwamba umri zikiwa tofauti some how true love inakuepo sidhani.

Wako watu wana pretend kushow love na wako na umri kuwazidi wenzi wao love is complicated rafiki.
Hapana mkuu mi naona utofauti kabisa...ngoja nikupe kisa cha my blood dadaangu.

Nyuma yy amedate na 30+na his fiancee was so good hata kama sio perfect...amekuja kudate na age mate uwii anajutaa asee..lijamaa haliheshimu mahusiano, full malaya, hana heshima ya kuheshimu mahusiano kabisa, wakitembea barabaran full kuwashangaa wanawake wengine yaan kama aliyenaye ni kituko hahaa

Mi nilimshauri dadaangu...hapo hamna mapenzi na huyo falaa
 
Inshu sio wakili mzuri hapo!!lazima atachezea mvua tu, unafuu wake labda iangukie kwenye kuua bila kukusudia, japo nako atafungwa tu miaka kadhaa, kuliko kwenye kunyongwa/maisha!!eti hakuna kesi!!!!hata uwakusanye kina KIBATARA MIA MOJA!!
Of koz atafungwa ila kama wakili ataweza kumpunguzia jamaa miaka ndipo uzuri wake utapoonekana
 
Tatizo la kuowa vibinti vidogo tofauti ya umri ilikuwa kubwa
Hiyo huwezi ukasema ndio sababu kubwa!!wangapi wanaoa wanawake wakubwa zaidi yao lakini wanawafumania?kweny jamii yetu mbona kila leo tunashuhudia wake za watu tena wengine wana wajukuu lakini wanafumaniwa?!!
 
Of koz atafungwa ila kama wakili ataweza kumpunguzia jamaa miaka ndipo uzuri wake utapoonekana
Ila huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!
 
Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Na inaonekana panga lilinolewa kabisa. Pigo moja mkono chini! Msinsi anamtetea msinsi! Tufwile banyambala!!
 
Ila huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!
Na mkono mmoja!?
 
Yaani anakuja mtu wa pembeni, tena mtu nzima anakueleza kinagaubaga kwamba jambo hilo hatari unalofanya linafahamika bado unakuwa mkaidi? Kwa mtu mwenye akili timamu, hapo tu, mwili wote unasisimka!
Na anahama eneo hilo kabisa!!
 
Ila huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!
Dah mzee tusiseme sana hatujui sisi tungevaa viati vya jamaa tumetoka kwenye kuni na tuna panga mkononi halafu tunarudi nyumbani tunakuta hivyo tungefanyaje
 
Back
Top Bottom