Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pust mama yakoachana na huyu pusti.
Haki ya nani🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Daah, hii ni below standard!
Walikua wamevaa yale mashati yao?
Sasa mimi na Saint Anne tutaambia nini watu? 🤣🤣🤣
Kwa dhalau za mama na chuki anazoonyesha dhidi yenu mtapigwa sana. Kwanza na mzee wa MIPA kazi out#HABARI KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. /https://t.co/la4H3dEJXX https://t.co/4JAdYqRdUT
View attachment 2052547
Shutup prostituteUnafuatiliwa kwasababu wewe ni kituko. Pimbi maji mchafu wewe
Yani KILA kitu kiko WAZI ,alafu uchunguzi bado unaendelea, ila bora ni ccm ingekua chadema taarifa isingekua imetolewaKatibu wa CCM Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM wa wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga askari polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea kijiji cha Kirudiki wilayani Babati Desemba 16 saa 11 jioni.
Kamanda Kuzaga alisema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa kwa mateke na fimbobaada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
“Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” alisema kamanda Kuzaga.
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
Kada wa CCM wa mjini Babati mkoani Manyara, Cosmas Masauda, ameeleza kusikitishwa kwa kitendo cha viongozi hao kukamatwa na kupelekwa mahabusu wakiwa kazini.
Masauda alisema mkutano huo ulikuwa na kibali na viongozi hao walikwenda kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa shamba baina ya wanakijiji na mwekezaji.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara, Simon Lulu alisema atazungumzia jsuala hilo baada ya ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumalizika.
“Tumepanga kuwa baada ya ziara ya
Waziri Mkuu Majaliwa ndipo tutazungumza juu ya tukio hilo la viongozi wetu kukamatwa,” alisema Lulu.
Tuliza mshono basi maisha yasongeWe jamaa huna akili. Unapenda kunifuatipia sana. Pumbavu
UVCCM miaka 46? Hili lichama ndo maana linatuletea hata Marais wa hovyo hovyo#HABARI KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. /https://t.co/la4H3dEJXX https://t.co/4JAdYqRdUT
View attachment 2052547
Katibu wa UVCCM mwenye miaka 46!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..mmoja wa watuhumiwa ni katibu wa vijana wa ccm ana miaka 46!![emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa kwa hasira...Unajiona bonge la mjanja siyo?
Yamezoea kughushi kila kitu.Mipuuzi hadi keshokutwa mchana kama itafika!Ila aibu sana kijinasibisha na CCM.Aibu kwerikweri!Katibu wa UVCCM mwenye miaka 46!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo ushangae eti, hili lichama hovyo kweli😀..mmoja wa watuhumiwa ni katibu wa vijana wa ccm ana miaka 46!!🤣🤣
Mshamba flani hiviHuyo jamaa kwa hasira...