Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Yaani eti katibu wa UVCCM ana umri wa miaka 46? Ndiyo kijana huyo?#HABARI KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. /https://t.co/la4H3dEJXX https://t.co/4JAdYqRdUT
View attachment 2052547