Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

Hawo ni wapenzi muda si mrefu utawakuta ktk kitanda kimoja hasa wakati wa uchafuzi
 
Safi sana makada, hawa polisi wamezoea kuwaonea makamanda sasa wamekutana dawa yao makada
 
Shamba la bwanaheri, mbuzi wa bwanaheri.

Juzi nilimsikia mwenyekiti wa ccm anasema wapinzani wakiruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara wanaharibu magari na kuleta fujo.
 
Du! Maajabu! Kopral atafuatiliwa kujua kama ana uswahiba na CHADEMA
 
Back
Top Bottom