Mpeni habari DTO(district traffic officer) wenu.Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Hoja yako ina mashiko. Ila umeiharibu kwa kumtaja huyo kilaza mwenzako, eti arudi aje akusaidie.Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Nchi ngumu sana. Wananchi wamelala fofofo kazi kulalamika na kuomba watu waje watatue kero wanazoweza kuzitatua wenyewe.... Kwa nini msiamkie kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya na kufunga mlango?Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Huwa wanashtua sana unakuta katoka alikotoka akifika karibu yako ndio anaachia huo mripuko kweli ni hatari sana
Japan hayo mambo ni ya kawaida sana...Huwa wanashtua sana unakuta katoka alikotoka akifika karibu yako ndio anaachia huo mripuko kweli ni hatari sana
Si nzuri aseee wanasema ua watu kwa mshtukoJapan hayo mambo ni ya kawaida sana...
Kule kuna pikipiki Zina horse power kubwa kelele kama zote...
Ni kote tuBabati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Huu mchezo ulishapigwa MARUFUKU kitambo. Sema tu kwamba wahusika na "Utii wa Sheria bila Shuruti" wamelala au wamepuuzia labda kwa sababu jambo hilo halina maslahi.Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Exactly mkuu, kutwa kuja humu na mada za kulalama, wakati ni waoga wa kizuzu kufanya push back, kujifanya key boards warriors huku wakifwata mikia yao ,bodaboda nao wanaifanya Babati isiishi kwa amani!!,kamata bodaboda mmoja mwenye kufanya hiyo mulipuko na choma moto pikipiki hiyo, serikali yote ya babati itaamka na kuja kwenye crime scene na action watachukua, humu JF hakuna jibuNchi ngumu sana. Wananchi wamelala fofofo kazi kulalamika na kuomba watu waje watatue kero wanazoweza kuzitatua wenyewe.... Kwa nini msiamkie kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya na kufunga mlango?