Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.
Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.
Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.