KERO Babati watu watakuwa viziwi kutokana na milipuko inayofanywa na waendesha pikipiki. Mamlaka ingilieni kati wananchi tunateseka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ambagae

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
3,334
Reaction score
1,385
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.

Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.

Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
 
Mpeni habari DTO(district traffic officer) wenu.
 
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.

Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.

Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Hoja yako ina mashiko. Ila umeiharibu kwa kumtaja huyo kilaza mwenzako, eti arudi aje akusaidie.
 
Babati ukifika utadhani kuna vita ya Gaza kutokana na milipuko inayofanywa makusudi na waendesha pikipiki.

Sipendi kuamini kama wahusika wa kudhibiti hali hii wameshindwa.

Vinginevyo Mheshimiwa Makonda tafadhali urudi Bahati uokoe wananchi wa Babati na makalele ya makusudi yanayofanywa na hawa waendesha bodaboda.
Nchi ngumu sana. Wananchi wamelala fofofo kazi kulalamika na kuomba watu waje watatue kero wanazoweza kuzitatua wenyewe.... Kwa nini msiamkie kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya na kufunga mlango?
 
Ni kote tu
 
Huu mchezo ulishapigwa MARUFUKU kitambo. Sema tu kwamba wahusika na "Utii wa Sheria bila Shuruti" wamelala au wamepuuzia labda kwa sababu jambo hilo halina maslahi.
 
Kama wananchi wenyewe ndio nyie mnaoamini maigizo ya Bashite,basi Boda Boda wana haki ya kuendeleza hicho wakifanyacho tena waongeze maradufu.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Nchi ngumu sana. Wananchi wamelala fofofo kazi kulalamika na kuomba watu waje watatue kero wanazoweza kuzitatua wenyewe.... Kwa nini msiamkie kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya na kufunga mlango?
Exactly mkuu, kutwa kuja humu na mada za kulalama, wakati ni waoga wa kizuzu kufanya push back, kujifanya key boards warriors huku wakifwata mikia yao ,bodaboda nao wanaifanya Babati isiishi kwa amani!!,kamata bodaboda mmoja mwenye kufanya hiyo mulipuko na choma moto pikipiki hiyo, serikali yote ya babati itaamka na kuja kwenye crime scene na action watachukua, humu JF hakuna jibu
 
Back
Top Bottom