Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
😆😆 kuna kaadabu kakutisha.Huko X (twitter) right now wadada wnaogopa tena kujipost maana uki jichanganya tu vijana wa hovyo wanaruka na pic yako utaona tu Grok anatagiwa "Grok make her naked" 😎
AI ni kisanga dunia nzima ,ukijifanya mjuaji tu inakufanya vibayaBaadae tuje laumu mabeberu ---
Yeah unasema uongo 😎Hizo picha zinafurahisha kama waliopostiwa sio Mama yako na dada yako.
Au nasema uongo?
Husemi uongo mkuuHizo picha zinafurahisha kama waliopostiwa sio Mama yako na dada yako.
Au nasema uongo?
Waje na regulations aiseeAI ni kisanga dunia nzima ,ukijifanya mjuaji tu inakufanya vibaya
😎Unyanyasaji.
Nani anamlazimisha babbie kumvua nguo