Babu akiyarudi madisco ya enzi zake na MJUKUU

duu Mtoto upaja mgongo balaa black beauty!
 
Hiyo suruwali ya babu kama imeinuka kidogo hapoo kwenye zipu.! dah! hili balaa sasa.
 
Hiyo suruwali ya babu kama imeinuka kidogo hapoo kwenye zipu.! dah! hili balaa sasa.

Amoeba ......Amoeba umefanya jioni yangu iwe nzuri nimecheka balaaaaaaaaaaaaa teh teh teh
 
Sasa anichokoze mtu . . . .:msela:
 
Kuna member mmoja humu ndani wanamuitaga babu,ndio huyu?

Teh teh teh . . . hapa kuna member kachangia hii thread anaitwa babu, sasa fafanua kidogo kuhusu huyo memba BABU
 
Nahisi huyu Babu alikuwa Chek Bobu enzi zake
 
Naona anatumia vema hela za mafao
 
Teh teh teh . . . hapa kuna member kachangia hii thread anaitwa babu, sasa fafanua kidogo kuhusu huyo memba BABU

Aa.ye haitwi babu kama jina,ila wajukuu zake ndio humwita babu na wanasemaga eti anajua kukagua......sijui anakaguaga nini au na hapo juu ndio alikuwa anakagua?
 
Aa.ye haitwi babu kama jina,ila wajukuu zake ndio humwita babu na wanasemaga eti anajua kukagua......sijui anakaguaga nini au na hapo juu ndio alikuwa anakagua?

Alaaaaaaa! Nishamjua ni Babu nani, tena jina lake linaendana na dawa fulani ya kichwa ya siku nyingi sana . . . nimesahau jina la dawa yenyewe. Ni mtaalam sana wa kukagua VINU na VYUNGU vya kizungu na vya kiafrika. Hapo juu alikuwa anajiandaa kukagua
 
Ama kweli kikongwe hafi kitoto na kweli mzee kobe,binadamu wote ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…