Babu akiyarudi madisco ya enzi zake na MJUKUU

Babu akiyarudi madisco ya enzi zake na MJUKUU

Babu inaonekana balaa huyu hataki utani kabisa binti naye naona kama vile anamtega
 
Macho ya binti naona yako kwenye flaizi ya babu tu, naye kam-maindi nini babu......
 
:shock::shock: abomination ,abomination........go go grandpa!!
 
Amoeba ......Amoeba umefanya jioni yangu iwe nzuri nimecheka balaaaaaaaaaaaaa teh teh teh

Mkuu hujastukia hiyo? Cheki fresh, inaonesha babu yuko aktivu balaa: unacheki jidada linavomtega na mipaja hiyo!..walah babu akigeiwa hapo anaweza kufia kwenye kidonda! lolest
 
mzee alivuka stage moja naona sasa ana SAPU,
mzee kama huyo ilimpasa akae na wajukuu zake ili awaelekeze dunia inavyokwenda

sasa cha ajabu unakuta wazee kama hao ndio wako kwenye kamati za kusaini mikataba mbalimbali tunayoingia, kwani huy ana tofauti gani na Liyumba?
 
Starehe haina uzee mkuu, We subiri uone ukizeeka kama hutapenda kutoka out hahahah
 
Hii dunia hiii....kweli kua uyaone. Nikifika 50, 2 years to come, naacha kabisa kwenda mziki na watoto wadogo. Ntakuwa nakunywa bia home kuogopa skendo.
 
Babu kijana huyo anaruka debe kama kawa.
 
Back
Top Bottom