The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
hiyo suruwali ya babu kama imeinuka kidogo hapoo kwenye zipu.! Dah! Hili balaa sasa.
ha ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo suruwali ya babu kama imeinuka kidogo hapoo kwenye zipu.! Dah! Hili balaa sasa.
Ama kweli kikongwe hafi kitoto na kweli mzee kobe,binadamu wote ni sawa.
Amoeba ......Amoeba umefanya jioni yangu iwe nzuri nimecheka balaaaaaaaaaaaaa teh teh teh
Alafu babu amekomaa na stepu hiyohiyo na macho amekodolea kwenye manyonyo! wahaahahaahaaaa,lolzha ha ha ha
mzee alivuka stage moja naona sasa ana SAPU,
mzee kama huyo ilimpasa akae na wajukuu zake ili awaelekeze dunia inavyokwenda
sasa cha ajabu unakuta wazee kama hao ndio wako kwenye kamati za kusaini mikataba mbalimbali tunayoingia, kwani huy ana tofauti gani na Liyumba?