Babu Ayubu rudisha pesa za rambirambi ya Masogange mwanae aende shule

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,933
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu

Nimesikiliza radio moja ya africa mashariki mtuumiwa familia inamlalamikia yeye anadai alimpa dada wa marehemu 1.2 kweli aiingii akilini mtu km masogange rambirambi ya wasanii wote tz na watu wengine wengi walio mpenda masogange watoe 1.2 pekee ata mtaani kwetu tunachanga izo kwa mtu wa kawaida tu ije kuwa kwa Masogange.

Hiyo laana aikuachi salama wewe na huyo mwenzio sijui ndio pili pili rudisheni pesa mtoto akasome muwe mnaona aibu.
 
Unahakika ni babu Ayubu? au umeskia umbea huko hata ujaskiza vizur unakimbilia kuanzisha uzi
 
STEVE NYERERE KUMRADHI MI NAWAJUA BASI HAO WASANII WENU
 
Duu hapo kwenye moja na mbili hiyo sekta ni ya ankali Steve bila shaka😔😔😔😔 so sad.
 
Kuandika kwenyewe hujui halafu unaleta malalamiko sehemu isiyohusika. Huyo mkusanya rambi rambi alichaguluwa na JF? Rambi rambi si hutolewa kwa maandishi? Kama walimteua mtu wasiyemwamini basi hilo ni kosa lao na hizo fedha hazitapatikana tena.
 
Kumradhi mood naomba ulekebishe ni steve nyerere sio babu ayubu naomba radhi
 
Kuandika kwenyewe hujui halafu unaleta malalamiko sehemu isiyohusika. Huyo mkusanya rambi rambi alichaguluwa na JF? Rambi rambi si hutolewa kwa maandishi? Kama walimteua mtu wasiyemwamini basi hilo ni kosa lao na hizo fedha hazitapatikana tena.
Mkuu ukileta ushenzi atakutana nao mwambie mamako anifundishe kuandika maana ndio mwalimu wa wanaume wanaoandika vizuri
 
Ukishtakiwa kwa kichafua brand ya babu ayubu utasema umeonewa?.Wanaume wa dar bhana kila mmoja Ni mwandishi wa habari vitu vingine muwe mnamuachia warumi.
 
Ukishtakiwa kwa kichafua brand ya babu ayubu utasema umeonewa?.Wanaume wa dar bhana kila mmoja Ni mwandishi wa habari vitu vingine muwe mnamuachia warumi.
Mi sio wa dar toa ugenya wako na uyo bwana ako warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…