kamituga
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 1,195
- 1,933
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu
Nimesikiliza radio moja ya africa mashariki mtuumiwa familia inamlalamikia yeye anadai alimpa dada wa marehemu 1.2 kweli aiingii akilini mtu km masogange rambirambi ya wasanii wote tz na watu wengine wengi walio mpenda masogange watoe 1.2 pekee ata mtaani kwetu tunachanga izo kwa mtu wa kawaida tu ije kuwa kwa Masogange.
Hiyo laana aikuachi salama wewe na huyo mwenzio sijui ndio pili pili rudisheni pesa mtoto akasome muwe mnaona aibu.