Babu na dokta

Babu na dokta

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
  • KIBABU😀okta nina tatizo sijui ni uzee au nini lakini kila mara najambajamba hovyo, ila uzuri wake ushuzi haunuki wala hautoi sauti
    DOKTA: Eti ehhh
    KIBABU: Hata hapa nimeshafutua mara tatu humu ofisini kwako
    DOKTA: haya chukua hivi vidonge umeze halafu urudi wiki ijayo
    KIBABU: Ntakuwa nimepona?
    DOKTA: Vidonge vitazibua pua zako, maana zinashindwa kunusa, wiki ijayo ntakupa vidonge uzibue masikio, halafu tutapima kwanini unajambajamba hovyo"




 
hahahahahaaaaa...jamani...kwahyo muda wote huo DR. alikua akivumilia ushuzi
 
Back
Top Bottom