Babu Saidoo Ntibazonkiza bado ni mchezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Simba sc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Haijalishi umri wake umeenda kiasi gani lakini kocha Robertinho bado anamuamini sana na kwa kupepesa macho kwenye benchi Sijaona wakumuweka benchi kiungo wa bujumbura Saidoo Ntibazonkiza.

NALIA NGWENA the game changer nilitegemea kuona Saidoo Ntibazonkiza akicheza/akiingia uwanjani dakika za lala salama kutokana na usajili mpya niliamini kabisa ndiyo mwisho wa utawala wa Babu Saidoo Ntibazonkiza.

Lakini nimeshangazwa sana kuona mwamba anacheza mpaka dakika za sabini Tena kavaa namba kumi kumaanisha kuwa bado yupo na ni tegemezi ndani ya kikosi Cha Simba sc.

My take ni ngumu sana kufika nusu fainali mpaka fainali kwenye michuano ya klabu bingwa Kama bado unakumbatia wachezaji wazee.

Nawasilisha hoja.
 
Mchezaji haukumiwi kwa mechi moja.
 
Yote tisa, hili la Kibu kucheza almost dk zote za match na kumuacha mtu kama Phiri nje huyu kocha ameniacha hoi mno.
 
Huwa hauchoki kuiongelea Simba tuu? Huko UTOPOLONI huwa hauoni cha kukiandika?
 
Reactions: BRN
Haijalishi umri wake umeenda kiasi gani lakini kocha Robertinho bado anamuamini sana na kwa kupepesa macho kwenye benchi Sijaona wakumuweka benchi kiungo wa bujumbura Saidoo Ntibazonkiza.
Kama anafunga na kuassist, kuna shida yoyote?
 
Reactions: BRN
Haijalishi umri wake umeenda kiasi gani lakini kocha Robertinho bado anamuamini sana na kwa kupepesa macho kwenye benchi Sijaona wakumuweka benchi kiungo wa bujumbura Saidoo Ntibazonkiza.
Ni kweli, hata wananchi mnamkubali

Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…