NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Haijalishi umri wake umeenda kiasi gani lakini kocha Robertinho bado anamuamini sana na kwa kupepesa macho kwenye benchi Sijaona wakumuweka benchi kiungo wa bujumbura Saidoo Ntibazonkiza.
NALIA NGWENA the game changer nilitegemea kuona Saidoo Ntibazonkiza akicheza/akiingia uwanjani dakika za lala salama kutokana na usajili mpya niliamini kabisa ndiyo mwisho wa utawala wa Babu Saidoo Ntibazonkiza.
Lakini nimeshangazwa sana kuona mwamba anacheza mpaka dakika za sabini Tena kavaa namba kumi kumaanisha kuwa bado yupo na ni tegemezi ndani ya kikosi Cha Simba sc.
My take ni ngumu sana kufika nusu fainali mpaka fainali kwenye michuano ya klabu bingwa Kama bado unakumbatia wachezaji wazee.
Nawasilisha hoja.