mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
usiwe unajitoa ufahamu..................kifungu cha sheria hpaMaoni yangu yamenijikita kwenye mamlaka ya raisi kusamehe au kutosamehe mfungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiwe unajitoa ufahamu..................kifungu cha sheria hpaMaoni yangu yamenijikita kwenye mamlaka ya raisi kusamehe au kutosamehe mfungwa.
ARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI._______________Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani JijiniDar es Salaam. Katika uzinduzi huo viongozi kadhaa wa Chama hicho walihudhuria, wakiwemo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa yaUfisadi, Edward Lowassa pamoja na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Lawrance Masha ambao walihutubia mkutano huo wa ufunguzi.Ni jambo la kushangaza kumsikia mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akihemewa na Kujikuta akishindwa kuikabili hadhira ya Watanzania wanaofikia milioni 45 kuwaelezea ana malengo gani ya urais, Chama chake kina dira na sera zipi za msingi, pia akizungumza bila kuonyesha mtiririko wa sera kupitia ilani ya Uchaguzi ya chama hicho.Mgombea wa CHADEMA Lowassa ni dhahiri ameshindwa uchaguzi mkuu mapema, amebakia akilalama, kupiga soga na kujenga matumaini hewa kwa Watanzania huku akishindwa kujua ni changamoto zipi za msingi zinazowakabili wananchi katika maisha ya kila siku.Lowassa akiwa anatetemeka jukwaani na kuongea kwa taabu amelizungumzia suala ambalo tayari mahakama ya rufaa imekwisha litolea hukumu. Suala hilo ni kesi ya Mwanamuziki Nguza Vicking na mwanawe Johnson Nguza waliohukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya ubakaji.Mahakama imedhibitisha kuwa Nguza Vicking maarufu kama "Babu Seya" na mwanaye Johnson Nguza maarufu kama "Papii Kocha" ni WABAKAJI, WANAJISI na WALAWITI. Na hivyo wamehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kutokana na tabia hizo chafu katika jamii.*_Lowassa anakuja na hadithi ya kuwaachia huru, kana kwamba anaona vyombo vya sheria vimewaonea na kuwakandamiza. Ifahamike katiya makosa ambayo yameainishwa katika sheriaza Tanzania, kosa la ubakaji halina msamaha. Mbakaji hawezi kupewa msamaha wa Rais. Msaidieni Lowassa maana anaonekana haijui sheria._**_Tangu nchi imepata uhuru, hakuna Rais aliyewahi kutoa msamaha kwa wabakaji, wala walawiti. Lowassa anaonekana kuchanganyikiwa. Ni dhahiri kwamba CHADEMA na mgombea wao Lowassa hawajajipanga kuongoza nchi. Hawana hoja za kuwasaidia watanzania, badala yake wanategemea siasa za matukio ili kujipatia kura. Tunaomba watanzania muwapuuze._*Imetolewa na:Shaka Hamdu Shaka,Kaimu Katibu Mkuu - UVCCM Taifa na Mjumbe wa NEC.30 August 2015.Friends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea
Rejea katiba ya JMWT ibara ya 45(1)(2).usiwe unajitoa ufahamu..................kifungu cha sheria hpa
Unasema hakuna shida mtoto/mama yako/dada yako/shangazi yako etc wako anatoa ushahidi kama huu chini halafu unamsamehe mbakaji/mfilajiShida ipi? Kusamehe? Amevunja katiba au sheria ipi?
Mahakama zipo huru?
Rejea katiba ya JMWT ibara ya 45(1)(2).
Never, Mihayo is one of the highly respected judge in the judiciary with regard to expertise in law when on the benchMahakama hata zikawa huru, uwezo wa jurists wetu mdogo mno. Kama hii ruling naipitia mara mbili mbili sioni Jaji Mihayo alipotaja what was the standard of review.
Hoja hapa si kwamba wakisa seya walisingiziwa au lah.Unasema hakuna shida mtoto/mama yako/dada yako/shangazi yako etc wako anatoa ushahidi kama huu chini halafu unamsamehe mbakaji/mfilaji
"The trial magistrate delt with this and concluded that it was not true and even if it was true, it did not matter. She said:
"Even if the first accused could not have full erection there being the slightest penetration was sufficient to prove rape as per law established. The victims proved that the first accused put his penis into their vaginas (sic) and anus and they sucked his penis. "
Watoto kumi hawawezi kudanganya/kurubuniwa wakaulizwa maswali wakaw athat much consistent!
Sasa kama ni katiba, inakiwaje mnasema rais aombewe na washauri wake??Hoja hapa si kwamba wakisa seya walisingiziwa au lah.
Issue hapa ni kwamba katiba inampa raisi mamlaka yasiyo na kikomo..."kusamehe kosa lolote kwa mtu yoyote".
.
Hiyo si hoja ya kuifanya Chadema ishindwe kufanya kampeni.Friends of Lowasa na Chadema wamepata pigo sana..kete yao ya mwisho ya kufanyia kampeni 2020 nayo imepokwa..hapo Bado mtu wa Nairobi hospital hajaongea
Ni wapi nimesema hivyo?!hebu ninukuu.Sasa kama ni katiba, inakiwaje mnasema rais aombewe na washauri wake??
Mnasema!Ni wapi nimesema hivyo?!hebu ninukuu.
Hoja zako nyepesi Sana najua Sasa hivi mnategemea police ila Kuna siku hamtawaonaNi kweli hata waliompinga lowasa kwa ufisadi ndio hao hao waliomzungushia mikono
I guess you are not a lawyer, an academician and a lover of Rule of law, if you are then you are not rational. SOMA HII CHINI.Hoja hapa si kwamba wakisa seya walisingiziwa au lah.
Issue hapa ni kwamba katiba inampa raisi mamlaka yasiyo na kikomo..."kusamehe kosa lolote kwa mtu yoyote".
.
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi..sipati picha namna wazazi wa wale watoto walivyo jisikia hiyo jana
Umeleta ishu nzuri ya Rule of law, separation of power, etc tatizo wanao discuss ni "mama ntilie"saflii.org/tz/cases/TZHC/2005/4.pdf …
Kuna shida mahali. Tunahitaji kumwombea Sana Rais na washauri wake.
mr mkiki