Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

Kuna shida gani. Haya tuletee hukumu za wale waliohukumiwa kunyongwa na wameachiwa tuone. Au umeshupalia hii ya Nguza kwa maslahi gani. Zwazwa style
Uzi huu ni wa professionals, law professionals , jurists, tatizo wengi mnaojadili ni "mama ntilie"
 
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi..sipati picha namna wazazi wa wale watoto walivyo jisikia hiyo jana


Mkuu hao wazazi wa watoto waliobakwa wapo kweli au geresha tu?
 
Ila mdogo wa Shonza aisee,so aje niwe naipiga ile dyudyu kuliko Yale ayafanyayo!!!!
Kwa sheria za SAUT Yani watakuwa wamekata jina mapema hana chuo tena
 
You are right but they do not have knowledge of the law and normally mama ntilie are illiterate!
They might be illiterate but its mere defamatory how about those went to hotel management collage think about it dude
 
Kwani mipaka ya kikatiba na kisheria ya Rais kisamehe ni zipi? Hapa wanaochangia ni walewale kama mimi
 
Hoja hapa si kwamba wakisa seya walisingiziwa au lah.

Issue hapa ni kwamba katiba inampa raisi mamlaka yasiyo na kikomo..."kusamehe kosa lolote kwa mtu yoyote".

.
Nafikiri watu wanaona wivu kuona hawa wazee wamesamehewa kwa mtizamo wa kisiasa ila ukweli ni kwamba hao akina babu Seya ni wabakaji kwa mujibu wa hukumu ya kimahakama.
 
Mimi nashangaa watu wanabishana kwamba hawa watu wana hatia au hawana. Hivi mnajua maana ya kusamehe?. Kusamehe hakujalishi kama una hatia au hauna, msamaha ni msamaha tu.
 
Hujatoa hoja yoyote ya kisheria hapo. Ulicopy ni maoni ya kisomi tu ambayo kama ulivoonesha yakiwekwa kwenye kiingereza inaonekana kama kitu chenye mantiki sana.

Hoja iliyoko mezani ni uwezo wa raisi kusamehe bila kutoa sababu. Raisi ana mamlaka ya kikatiba kusamehe kosa lolote lile. Kusamehe hakumaanishi aliyesamehewa kaonewa hapana. Mtu aliyeonewa hasamehewi anaachiwa huru kwa kuwa ameonewa.

Sasa katika swala hili....mahakama ya rufani iliwaona wanahatia kama walivotiwa hatiani wengine na ikatoa hukumu yake stahiki. Alichofanya raisi si kutengua hukumu ya mahakama...bali kusamehe.

That is it.
 
Never, Mihayo is one of the highly respected judge in the judiciary with regard to expertise in law when on the bench

respected by who

you can't write a ruling on appeal without stating the standard of review
 
hakika limetimia
ooh thanks for reminding me about this insight observations Seven years ago ....

infact hii yote ni uwezo wa kufanya calculations based on chain and sequence of events [Chronological studies ]...., kama mnajuwa hata kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa Sequence and Series .... hata in really life kwenye any intelligent approach lazima kufanya chronological assumptions na hii ndio inawezesha basing on factors utakuta kuna mambo mengi humu ndani watu tulisema na yanakuwa ....

Mfano kuna post moja humu ndani ten years ago, wakati Magufuli anahamishwa kwenda kuwa waziri wa ardhi au mifugo ...nilisema kuna muelekeo mkubwa kuwa ana ndoto za URAIS ...na atakuwa ..
Tofauti ya Magufuli na wagombea wengine kama ambavyo hata yeye anasema ni kuwa ...nafikiri alikuwa mbio zake anakimbiza mwizi taratibu saana , wakati wenzake walikuwa wanakimbia kwa fujo na makelele .
Magufuli aliujenga vizuri Mtandao wa TANROAD na kuutumia vizuri sana na kwa siri kubwa pengine akijua yeye mwenyewe malengo yake . Hakuna mtaka nia aliyemuona tishio .
 
Baba na wanawe hawawezi kufila kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…