Mamam weeeeeeeh,Mama weeeeeeeeeeeeeeeeeh mama weeeh,aisee nimelia sana hii issue.
kama wawili wametoka then kuna ukweli ndani yake!!! yawezekana kuna politics ndani na wale wakubwa wakaambiwa waendelee kukaa ndani!!! Labda Kabila awaombe wakatumikie kifungo kongo halafu huko atawasamehe baada ya muda!!!Sheikh yahya alisema wote wangetoka...
Utabiri wa mtabiri wetu umegonga mwamba.
nalia pamoja nanyi, mateso mengi mmepitia, pole sana.
Hao watoto walioachiwa huru kwa kudai kuwa wamebambikiwa kesi wanaweza kudai malipo ya mateso waliyoyapata ya kufungwa miaka ypte hiyo?
no! inawezekana hata tanzania, and trust me watapata compensation hujawahi kusikia... watatumika kama migongo ya watu wanaotaka profile na hivyo watapata... si unajua tanzania tunapoliticize kila kiu??😕siyo tanzania😡😡😡
Huyu mtoto mbona analia kwa uchungu jamani inasikitisha
Acha longolongo Rais hawezi kutoa msamaha kwa wabakaji na akifanya hivyo itabidi naye achunguzwe unajua inauma sana mwanao unamlea kwa nguvu zote linakuja jitu lingine linakuaribia mwanao,hapa bw hakuna cha ushauri wala nini afungwe tu na akiachiwa ndo hapo wanauchungu kama mimi huwa tunachukua sheria mkononi
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,watu wanaua wazazi wao ili wafanikiwe kimziki ije leo kubaka?Money Bwana unaweza kufanya kituko watu wakajiuliza mawaswali mianne kidogo.Acha ushabiki usio kuwa na msingi! hivi inakujia akilini m2 mzima kama babu seya na papii wabake katoto ka miaka 6 - 11 tena wamwingilie nyuma na mbele aweze tembea??? hapo ulipo umri wako umwingile mtoto wa umri huo miaka 6 hadi 11 ataweza hata kunyanyuka tusiongee kwa ushabiki tu tuangalia na uhalisia wenyewe???
Acha ushabiki usio kuwa na msingi! hivi inakujia akilini m2 mzima kama babu seya na papii wabake katoto ka miaka 6 - 11 tena wamwingilie nyuma na mbele aweze tembea??? hapo ulipo umri wako umwingile mtoto wa umri huo miaka 6 hadi 11 ataweza hata kunyanyuka tusiongee kwa ushabiki tu tuangalia na uhalisia wenyewe???
tatizo hapa watanzania hawapendi kujua ukweli, mtu mzima kubaka mtoto inawezekana na wapo watoto ambao wanabakwa kwa muda mrefu na wao watu wazima kama babu seya na mwanae. Tatizo letu watanzania/waafrica tunapenda kufanya vitu hivi siri na hatupendi kuraise awareness kuhusu jambo hili la wabakaji wa watoto na wanawake, hili jambo hatupendi kabisa kulisikia na wengine hata wanafikia kusema kwamba ohh mtoto au mwanamke akibakwa amejitakia..
Kuna statitics zipo za duniani ambazo kinaonyesha watu wanaobaka watoto wengi wao ni wale walio close to them, kama family friends, uncles etc..
Sasa huu utetezi kwamba eti babu seya hawezi akabaka mototo na mototo akatembea is absolute bullshit, marando na nyie mnaotetea watu kutokana nahii fact inabidi mfanye uchunguzi wa kibaologia zaidi pia uchunguzi wa kesi nyingine za wabakaji wa watoto etc
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,watu wanaua wazazi wao ili wafanikiwe kimziki ije leo kubaka?Money Bwana unaweza kufanya kituko watu wakajiuliza mawaswali mianne kidogo.