tatizo hapa watanzania hawapendi kujua ukweli, mtu mzima kubaka mtoto inawezekana na wapo watoto ambao wanabakwa kwa muda mrefu na wao watu wazima kama babu seya na mwanae. Tatizo letu watanzania/waafrica tunapenda kufanya vitu hivi siri na hatupendi kuraise awareness kuhusu jambo hili la wabakaji wa watoto na wanawake, hili jambo hatupendi kabisa kulisikia na wengine hata wanafikia kusema kwamba ohh mtoto au mwanamke akibakwa amejitakia..
Kuna statitics zipo za duniani ambazo kinaonyesha watu wanaobaka watoto wengi wao ni wale walio close to them, kama family friends, uncles etc..
Sasa huu utetezi kwamba eti babu seya hawezi akabaka mototo na mototo akatembea is absolute bullshit, marando na nyie mnaotetea watu kutokana nahii fact inabidi mfanye uchunguzi wa kibaologia zaidi pia uchunguzi wa kesi nyingine za wabakaji wa watoto etc