Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

Ninasema walibakwa kwa sababu mahakama ilidhibitisha pasina shaka.

Nachotaka kujua watu hawa wako wapi,wanafanya nini na wamechukuliaje msamaha wa Rais ikiwa pamoja na mwaliko wa wabakaji wao Ikulu.

Mtoto(wakati huo) mmoja akiitwa Gift Kapwapwa wakati huo akisoma darasa la kwanza Mashujaa primary-Sinza. Wakati wa tukio binti aligundulika na walezi wake kuwa anatoa harufu ukeni. Binti wa kazi alimwelezi mlezi wao kuwa alimwona Gift na Shs.200 ambayo alisema alipewa na Babu Seya....hiyo ni 2003.

Walikuwa watoto 10 wako wapi hawa. Wengine ni pamoja na Alisia Longino, Isabella Angonile, Agneta Sia nk.

Wako wapi kina Gift waliobakwa na Babu Seya na mwanaye?
Watakuwa ni majimama makubwa na wameolewa
 
Anza kuwa na wasiwasi na kesi ile na jinsi hukumu ilivyotoka. Hawapo waliobakwa
 
Ivi mtoto wa darasa la kwanza akipigwa pipe anatembea? Kumbuka pipe za kikongomani hasa baba yule ni Atari!! Huwa amuangalii anapocheza wimbo wake pendwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Imebidi nicheke tu maana hamna namna.
 
Ivi mtoto wa darasa la kwanza akipigwa pipe anatembea? Kumbuka pipe za kikongomani hasa baba yule ni Atari!! Huwa amuangalii anapocheza wimbo wake pendwa?
wabakaji wahenga wao walikuwa wanaanza na brush siku hadi siku mpaka anakamilisha ufirauni.
 
Back
Top Bottom