Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
mie mpaka kesho huwa siamini km bb na wanae wanaweza kufanya hivyo
MKUU wakongo hawana hulka ya kugombana gombana, popote waendako wanachanganyika na raia na kuonekana wastaarabu - sasa ujanja wao huo ndio uwapatia wenyenji - baadhi ya Wakongo ni waharibifu sana wa watoto wa kike na wake za watu asikudanyanye mtu, husije ukawa carried away na mambo yao ya kuigiza/kijifanya wastaarabu.
Kitu kingine wana amini na ku-practice mambo ya ushirikana sana, hiwe kwenye biashara zao za kwawaida au mambo ya miziki! Kuna Mkongo aliwahi kuniambia kwamba wapigapo mziki basi kesho yake asubuhi sana wanamtuma mtu wao aende akusanye vizibo vya soda na bia kwenye kumbi wanakwenda sijui kuvifanyia matambiko gani!! Vile vile haya mambo ya kufuata fuata vitoto vidogo vya shule za msingi ni kwa ajili ya mambo yao ya imani ya kishirikina sio kwamba wanakosa wanawake wa lika lao.
Niliwahi vile vile kuhadithiwa kisanga cha kweli na muhandisi mwenzangu Mzambia tukiwa Ndola Zambia - Ndola inapakana na Kongo, alinisimulia kisanga cha kutisha sana cha kishirikana alicho wahi kufanyiwa na rafiki yake Mkongo baada ya kukihuka masharti aliyo pewa na rafiki yake, kwamba hata siku moja hasichungulie au kujaribu kufungua chumba cha katikati ya nyumba yake, jamaa alikahidi masharti baada ya kuona rafiki yake ameondoka kikazi kwenda Livingstone kusini mwa Zambia - kwa kuwa alihachiwa nyumba na funguo zote akawa na shahuku ya kuchungulia kwenye chumba hicho, yaliyo mpata siwezi kuyarudia hapa.
In short ninacho taka kuzungumza hapa ni kwamba tusijaribu kuwa tetea sana jamaa hawa, wana mambo yao ambayo si ya kawaida - haya mambo ya kufikiri eti kamtogoza mwanamke sijui wa nani ndio maana aliwekwa lupango - mimi hilo sihafikiani nalo hata kidogo, mbona DAR kuna wanawake wa kila sampuli, ni mwanamume gani mwenye akili timamu anaweza kuhangahika na mwanamke ambaye amekwisha ji-tune kisaikolojia kufuata wanaume wa nje ya ndoa, piga kill atafanya tu - na kama hiyo ikitokea wa kulahumiwa pale ni mwanamke sijui kwa nini watu huwa wanalahumu wanaume!!