nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Akikujibu naomba unijuzeNdio unawatafuta uwarudishe jela???
Watakuwa mitaa ya Sinza Mugabe wanaendeleza ule utaratibu wao maarufuHivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
Kitu gan hicho
hahahahah nimecheka sana daaa lakini umemuuliza swali zuri sana...Ndio unawatafuta uwarudishe jela???
Wamejiunga na CCM ili wazidi kumuunga mkono rais na jitihada zake maana yote Waliyokuwa wanayataka ndiyo anayofanya raisHivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
Television bora 2017Kitu gan hicho
Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
Da! Hongera zao ccm mbelekwa mbeleTelevision bora 2017
nasikia wanataka kwenda zao kwao congo, sijui wanaenda tena kuoga maji kwa babu yao ili warudi na muziki mnene, au wanakwenda zao moja kwa moja kuwakimbia watz? manake kama walitubakia watoto wasifikiri wanapendwa, waende tu congo. hata hivyo sisi mafisiemu tulikuwa tunawategemea kuwa wanapendwa hivyo watatumika kwenye kampeni, sasa sijui itakuwaje.Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa