Babu Seya wako wapi na Papii Kocha?

Babu Seya wako wapi na Papii Kocha?

Ule msamaha haujawai tokea dunian,..ulitokeaga mara1 tuu,tena alikua Baraba Vs Yesu,..so wamehis dunia ikishtukia wanaeza rud tena jela,so wamesepa mazima bongo..kosa la kubaka hua halisamehewi

kabla ya kupost uliza kwa marafiki kwanza .... Rais anauwezo wa kusamehe kosa lolote ..... (umeambiwa kosa lolote afu tatizo lenu mmezoea kukosoa kila kitu bila kushirikisha ubongo "mkumbo.com")
 
kabla ya kupost uliza kwa marafiki kwanza .... Rais anauwezo wa kusamehe kosa lolote ..... (umeambiwa kosa lolote afu tatizo lenu mmezoea kukosoa kila kitu bila kushirikisha ubongo "mkumbo.com")
Sawa tunafaham hilo,ana mandate hiyo,lakin haijawai tokea dunian.mbakaj??
 
d8483430fbf57b70245e9fa96565668d.jpg
 
Wako Sinza wanapiga nyeto tu, sasa hivi wakiendelea kubokoa vitoto dawa yao ni Mob Justice tu, maana hawa Fisiemu wanatuzingua
 
Nilimsikia Mzee King Kiki anasema wanapumzika na hawatafanya lolote hadi warudi kutoka Congo.
 
Back
Top Bottom