master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 813
- 561
Ule msamaha haujawai tokea dunian,..ulitokeaga mara1 tuu,tena alikua Baraba Vs Yesu,..so wamehis dunia ikishtukia wanaeza rud tena jela,so wamesepa mazima bongo..kosa la kubaka hua halisamehewi
kabla ya kupost uliza kwa marafiki kwanza .... Rais anauwezo wa kusamehe kosa lolote ..... (umeambiwa kosa lolote afu tatizo lenu mmezoea kukosoa kila kitu bila kushirikisha ubongo "mkumbo.com")