Babu Seya wako wapi na Papii Kocha?

Babu Seya wako wapi na Papii Kocha?

nanga mstafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
381
Reaction score
649
Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
 
796bf7ee9b181ed6be7b45a3c8599c94.jpg
 
Kwanini hawajawahi kuikana au kuizungumzia hii kashfa? Kwa kweli mm natamani kujua kama ni kweli waliwa........! Watoto au la!natamani wakatae au wakubali mubashara!
Ni mawazo ya serengeti lite 15 siyo mm wakuu,nilipokosea nichukuliwe poa tu![emoji482] [emoji482]
 
Unataka wakavae jezi za ccm waiimbie ccm? Ok..usiwe na wasiwasi..watafanya hivyo sana tu
 
Wanakula maraha ya uraiani na kujiongeza maana mengi hawakuyaacha. Kama vile smart phone na mengine mengi ambayo hawayajui.

Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
 
Hivi hawa watu toka watoke jela wako wapi na wanafanya nn? Kama hakuna wanachofanya rais alifanya makosa kuwatoa
nasikia wanataka kwenda zao kwao congo, sijui wanaenda tena kuoga maji kwa babu yao ili warudi na muziki mnene, au wanakwenda zao moja kwa moja kuwakimbia watz? manake kama walitubakia watoto wasifikiri wanapendwa, waende tu congo. hata hivyo sisi mafisiemu tulikuwa tunawategemea kuwa wanapendwa hivyo watatumika kwenye kampeni, sasa sijui itakuwaje.
 
Washirikina wale labda wanamsaka mganga aliyewadanganya wabake watoto ili wapate mashabiki wengi!!.. sad news kwao ni kuwa mganga mwenyewe kesha dedi
 
Wanajifundisha matumizi ya Smartphone na smart TV.maana hawajui simu matoleo ya sasa hivi na matumizi yake!
 
Ule msamaha haujawai tokea dunian,..ulitokeaga mara1 tuu,tena alikua Baraba Vs Yesu,..so wamehis dunia ikishtukia wanaeza rud tena jela,so wamesepa mazima bongo..kosa la kubaka hua halisamehewi
 
Back
Top Bottom