Ule msamaha haujawai tokea dunian,..ulitokeaga mara1 tuu,tena alikua Baraba Vs Yesu,..so wamehis dunia ikishtukia wanaeza rud tena jela,so wamesepa mazima bongo..kosa la kubaka hua halisamehewi
Sawa tunafaham hilo,ana mandate hiyo,lakin haijawai tokea dunian.mbakaj??kabla ya kupost uliza kwa marafiki kwanza .... Rais anauwezo wa kusamehe kosa lolote ..... (umeambiwa kosa lolote afu tatizo lenu mmezoea kukosoa kila kitu bila kushirikisha ubongo "mkumbo.com")
Duh,ila hata ningekua mimi ningechora hiyo tatoo