ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hakuna cha kufanya mjinga pekee ndio anaweza kuamini habari ambayo ata ushahidi hakuna , na bahati mbaya nchi hii ni wengi mno , nguvu kubwa inahitajikaSehemu ambayo ignorance is high that is normal uwezi zuia ndio maana ata Tale nae anaendelea na maisha yake.
Lakini utegemei mtu makini nae asikilize habari za vijiweni na kuzipa maanani wakati marehemu afya ilikuwa mgogoro tunaambiwa tangia mwezi May.