Uchaguzi 2020 Babu Tale achukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Morogoro

Hakuna cha kufanya mjinga pekee ndio anaweza kuamini habari ambayo ata ushahidi hakuna , na bahati mbaya nchi hii ni wengi mno , nguvu kubwa inahitajika
 
huyo dada Victoire ni mpuuzi tena bonge la sengerema nadhani hajasuguliwa siku nyingi, nimemuona tangu siku nyingi anasisitiza kwamba babu tale kamtoa mke wake kafala kwa ajili ya ubunge, siku ile ile ya msiba na kaivalia njuga kila post inayomhusu babu tale, sasa cha kushangaza ni kwamba yeye amejuaje? Wakati hata ndugu zake mwanamke hawajui hili, au walikuwa wote kwa mganga wakapewa haya masharti?

Ni punga sana lile dada
 
Msiba umeshampa umaarufu tayari naye anataka kuwa mbunge.......Hahahaaa....hii nchi ina vichekesho sna aisee
 
Bado mishahara na marupurupu. Umanager hela ndogo ukizingatia wanagawana wengi.
Hapana bado mkopo wa Hadi m400+
Nilikuwa crdb chamwino aliingia mheshimiwa flan Ana mwili nyumba akawa anaongea mmama mmoja mfanyakaz wa pale kisu balaa...anamtetemekea akamwamuru mdada mfanyakaz mwenzie ampishe kiti akapewa mheshimiwa akakaa[emoji28][emoji28]
 
Mwili jumba, Ndugai au Simachawene? Hahaha
 
Alafu alipokaa?
 
Kama waliwekeza huko at least miaka mitano kabla ni sawa lakini kama wanategemea umaarufu wa DSM na Insta ni ngumu mno kupitishwa kupitia CCM at least wange-opt hivi vyama mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…