Babu Tale afunguliwa maombi mengine ya kufungwa Mahakama Kuu

Babu Tale afunguliwa maombi mengine ya kufungwa Mahakama Kuu

Hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Augustine Shangwa Februari 18, 2016, iliamuru Babu Tale na ndugu yake Idd Taletale kumlipa fidia ya Sh250 milioni, Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Mbonde kwa makosa ya kutumia mahubiri yake kibiashara bila ridhaa yake.
Huyu meneja wa Asake wa Tandele ni tapeli aisee.
sinza pazuri utaambia nini watu?
 
Back
Top Bottom