Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

huyo immature manager ndio kamfikisha diamond alipo...nioneshe mature manager unayemfahamu wewe na msanii wake?
Angewafikisha basi na kina Madee, Tunda...mbona amewakimbia?

Ni nyota ya Mondi tu anasafiria huyo, yeye yupo kitengo cha kuagua.
 
Kwa maoni yangu Mpoto hakuwa tayari kuona hili tukio linapita na Mondi akabaki lawamani.

Duniani kuna Marafiki wa aina mbili, wapo wale wanaokaa kimya wakitamani uharibu ili tu upoteze thamani yako kwa jamii, na wapo walle watakao jitoa muhanga kwa hali na mali kukunusuru usifike huko...Mpoto kwa kutumia nafasi yake kwenye jamii akaamua kujitoa Muhanga.

Na lengo limetimia ndio maana leo imekuwa mjadala. Kwangu Mpoto ni Shujaa na sio hao kina Babu Tale.

Diamond yeye ndiye ajiulize ni kwa nini Mpoto/Watu wakaamua kupiga kelele hadharani? ukweli ni kwamba ni mwenendo wake yeye mwenyewe ndio umepelekea jamii/ Wasanii wenzake kupoteza imani naye...Diamond kwa sasa haaminiki/haeleweki (refer yeye na Baba yake), ndio maana Wenzake wamejilipua.

Nadhani Nay naye aliamua kujilipua kama Mpoto.
 
Tip Top mbona walikuwa vizuri tu?! Sema ndo hivyo tena, kiuchumi Diamond mmoja alikuwa worth than All Tip Top Artists collectively!
 
Kwa maoni yangu Mpoto hakuwa tayari kuona hili tukio linapita na Mondi akabaki lawamani.

Duniani kuna Marafiki wa aina mbili, wapo wale wanaokaa kimya wakitamani uharibu ili tu upoteze thamani yako kwa jamii, na wapo walle watakao jitoa muhanga kwa hali na mali kukunusuru usifike huko...Mpoto kwa kutumia nafasi yake kwenye jamii akaamua kujitoa Muhanga.

Na lengo limetimia ndio maana leo imekuwa mjadala. Kwangu Mpoto ni Shujaa na sio hao kina Babu Tale.

Diamond yeye ndiye ajiulize ni kwa nini Mpoto/Watu wakaamua kupiga kelele hadharani? ukweli ni kwamba ni mwenendo wake yeye mwenyewe ndio umepelekea jamii/ Wasanii wenzake kupoteza imani naye...Diamond kwa sasa haaminiki/haeleweki (refer yeye na Baba yake), ndio maana Wenzake wamejilipua.

Nadhani Nay naye aliamua kujilipua kama Mpoto.
Ina maana kwenye misiba yote ambayo Diamond huwa anaenda huwa anaambiwa na Mpoto?! Manake sio ajabu kwa Diamond kutokwenda nyumbani msimbani lakini akaenda kutoa heshima za mwisho!

Hao walioamua kupiga kelele ni wanafiki tu; narudia WANAFIKI! Ukitaka kugundua kwamba ni Wanafiki hebu fuatilia. Wakati wanamshambulia Diamond kwa kutom-post Ruge, ndio hao hao wanaowashambulia wana-WCB wengine kwa kum-post Ruge yule yule!! Hata Babu Tale katukanwa sana kisa kam-post Tale!! Sasa kama sio unafiki tuite nini?!

Man, inawezekana hukijui vizuri kizazi cha mtandaoni, hususani kizazi cha Instagram! Diamond anawafahamu vema hawa watu! Wakishaamua kuwa haters, hakuna utakachofanya ukaonekana umefanya jambo zuri mbele yao!!! Ni kutokana na hilo, ndo maana mtu kama Diamond akaamua kukausha kwa sababu alifahamu; endapo ange-post angetukanwa, kama angeenda msibani nyumbani kwa akina Ruge angetukanwa na haters wangesema amefanya hayo kwa kutafuta kiki!!

Chukua mfano mdogo tu! Diamond alifika Karemjee saa 8 kasorobo! Mange Kimambi akaandika post kusema Diamond kajichelewesha makusudi ili kutafuta kiki, kizazi kilichojaa chuki kikaanza kumwaga mitusi hapo utadhani na wenyewe walienda! Now tell me, unataka kusema Diamond alikuwa ndo mtu maarufu wa mwisho kufika pale?! Kwanini kuchelewa kwa Diamond kuonekane big issue?! Ikiwa watu huwa wanachelewa au kutohudhuria kabisa hata kwenye misiba ya ndugu zao wa damu, kwanini msiba wa Ruge Mutahaba uonekane LAZIMA LAZIMA DIAMOND ASHIRIKI FULLY!!

By the way, hivi Diamond huyu ambae kila anapopita lazima ajaze nyomi ana sababu ya kutafuta kiki msibani kama sio maneno ya chuki tu?!
 
Tale kajitahidi kumpa mpoto ukweli na kuonesha jinsi gani mswahili maana manager mwenye akili asinge jibu hivyo!,ila pia bado sisi tulio wahi kumfaham kaka yake Abdu Bonge kufanya nae biashara(nje ya muziki)tunangoja aseme ukweli wa kifo chake pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya kazi ya Meneja ni kulinda brand! Tangu mwanzo Mpoto ametoa posts za kuonesha Diamond ni mkosaji na LAZIMA LAZIMA alitakiwa ahudhurie msiba wa Ruge wakati am certain, hata Mpoto mwenyewe sio kila msiba anahudhuria, including ya ndugu zake wa karibu!

Kwa mazingira kama hayo, Meneja ana wajibu wa kulinda na kuitetea brand yake! Haiwezekani jamii iamini Diamond ni roho mbaya asiyejali matatizo kiasi kwamba, kama si Mpotto, hata Ruge asingeenda kumuaga!!

Btw, huo ukweli kuhusu kifo cha Bonge ni upi unaotaka wewe? Hivi mtu kasukumwa halafu kadondokea kichwa bado unataka kuhusisha na mambo ya ajabu hapo?! Au unataka kusema alimroga ili Abdul asukumwe na kufa?!
 
Ina maana kwenye misiba yote ambayo Diamond huwa anaenda huwa anaambiwa na Mpoto?! Manake sio ajabu kwa Diamond kutokwenda nyumbani msimbani lakini akaenda kutoa heshima za mwisho!

Hao walioamua kupiga kelele ni wanafiki tu; narudia WANAFIKI! Ukitaka kugundua kwamba ni Wanafiki hebu fuatilia. Wakati wanamshambulia Diamond kwa kutom-post Ruge, ndio hao hao wanaowashambulia wana-WCB wengine kwa kum-post Ruge yule yule!! Hata Babu Tale katukanwa sana kisa kam-post Tale!! Sasa kama sio unafiki tuite nini?!

Man, inawezekana hukijui vizuri kizazi cha mtandaoni, hususani kizazi cha Instagram! Diamond anawafahamu vema hawa watu! Wakishaamua kuwa haters, hakuna utakachofanya ukaonekana umefanya jambo zuri mbele yao!!! Ni kutokana na hilo, ndo maana mtu kama Diamond akaamua kukausha kwa sababu alifahamu; endapo ange-post angetukanwa, kama angeenda msibani nyumbani kwa akina Ruge angetukanwa na haters wangesema amefanya hayo kwa kutafuta kiki!!

Chukua mfano mdogo tu! Diamond alifika Karemjee saa 8 kasorobo! Mange Kimambi akaandika post kusema Diamond kajichelewesha makusudi ili kutafuta kiki, kizazi kilichojaa chuki kikaanza kumwaga mitusi hapo utadhani na wenyewe walienda! Now tell me, unataka kusema Diamond alikuwa ndo mtu maarufu wa mwisho kufika pale?! Kwanini kuchelewa kwa Diamond kuonekane big issue?! Ikiwa watu huwa wanachelewa au kutohudhuria kabisa hata kwenye misiba ya ndugu zao wa damu, kwanini msiba wa Ruge Mutahaba uonekane LAZIMA LAZIMA DIAMOND ASHIRIKI FULLY!!

By the way, hivi Diamond huyu ambae kila anapopita lazima ajaze nyomi ana sababu ya kutafuta kiki msibani kama sio maneno ya chuki tu?!
Diamond yeye ajitafakari na atambue nafasi yake kwenye jamii kwa sasa, kuna wakati wa kuwaridhisha Wachache na kupoteza kwa wengi na vice versa...muhimu ni aangalie tukio lililopo mbele yake kwa wakati huo.

Suala la msiba ni jambo zito na lenye mguso kwa jamii nzima, busara inahitajika kuliko kufuatisha kila wanachokitaka Mashabiki/Wafuasi, Wao wana nafasi yao na yeye vile vile ana ya kwake mbele ya jamii.

Ni vizuri akatafakari ni kwa nini ameandamwa yeye na si wengine? nani kahangaika na jide kwa mfano.

Diamond alipaswa kuonyesha mapema kuwa amechukua mwelekeo tofauti mara tu baada ya msiba, sio lazima kwamba angemposti ama vipi...ila bado kuna mengi angeweza kufanya tena kwa busara tu.

Diamond anaangaliwa na kufuatiliwa na wengi haswa kwa ulimwengu huu wa mtandaoni, awe makini sana na mwenendo wake haswa kwa yale yanayohitaji busara.
 
huyo immature manager ndio kamfikisha diamond alipo...nioneshe mature manager unayemfahamu wewe na msanii wake?
Ila tuwe serious kidogo. Kabisa unaamini bila Tale Diamond asingefika hapo alipo?! Really?!
 
Diamond yeye ajitafakari na atambue nafasi yake kwenye jamii kwa sasa, kuna wakati wa kuwaridhisha Wachache na kupoteza kwa wengi na vice versa...muhimu ni aangalie tukio lililopo mbele yake kwa wakati huo.

Suala la msiba ni jambo zito na lenye mguso kwa jamii, busara inahitajika kuliko kufuatisha kila wanachokitaka Mashabiki/Wafuasi, Wao wana nafasi yao na yeye vile vile ana ya kwake mbele ya jamii.

Ni vizuri akatafakari ni kwa nini ameandamwa yeye na si wengine? nani kahangaika na jide kwa mfano.

Diamond alipaswa kuonyesha mapema kuwa amechukua mwelekeo tofauti mara tu baada ya msiba, sio lazima kwamba angemposti ama vipi...ila bado kuna mengi angeweza kufanya tena kwa busara tu.

Diamond anaangaliwa na kufuatiliwa na wengi haswa kwa ulimwengngu huu wa mtandaoni, awe makini sana na mwenendo wake haswa kwa yale yanayohitaji busara.
Diamond hata tatizo lolote, tatizo lipo kwa mashabiki maandazi hawa,Hivi hukujua Diamond alkua anausoma mchezo?

Watz ni wanafki sana,unavyotaka Diamond afanye mkuu,,watu bado wangemuita mnafki,angalia wenzie walivyo post wakaitwa wanafki,

The best way ni kukaa kimya na kufanya yaliyo sahihi,kama alivyo fanya and yet bado wakazid kumsema.

Kiboko wa hizi kazi ni Jide,kafuta picha zote kaacha moja na kamute comments,,labda uende DM ,muda mwingne mashabiki wanaweza kukupa stress tu..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kwa maoni yangu Mpoto hakuwa tayari kuona hili tukio linapita na Mondi akabaki lawamani.

Duniani kuna Marafiki wa aina mbili, wapo wale wanaokaa kimya wakitamani uharibu ili tu upoteze thamani yako kwa jamii, na wapo walle watakao jitoa muhanga kwa hali na mali kukunusuru usifike huko...Mpoto kwa kutumia nafasi yake kwenye jamii akaamua kujitoa Muhanga.

Na lengo limetimia ndio maana leo imekuwa mjadala. Kwangu Mpoto ni Shujaa na sio hao kina Babu Tale.

Diamond yeye ndiye ajiulize ni kwa nini Mpoto/Watu wakaamua kupiga kelele hadharani? ukweli ni kwamba ni mwenendo wake yeye mwenyewe ndio umepelekea jamii/ Wasanii wenzake kupoteza imani naye...Diamond kwa sasa haaminiki/haeleweki (refer yeye na Baba yake), ndio maana Wenzake wamejilipua.

Nadhani Nay naye aliamua kujilipua kama Mpoto.

Mpoto Shujaa? Upuuzi nakutafuta kiki,wewe mtu umemwita mdogo wako kwa nini usimpigie simu au kwake si unapajua kwa nini usiende ili asiwe na sababu? au misiba yote anayoenda Mondi Mpoto ndiye anayemwambiaga si anaendaga mwenyewe.

Hivi umemtumia instagram akisema hakuiona post au hakuwa online ,vp uta mtamlaumu msigeuze instagram ndio kila kitu.
 
Back
Top Bottom