joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Diamond yeye ajitafakari na atambue nafasi yake kwenye jamii kwa sasa, kuna wakati wa kuwaridhisha Wachache na kupoteza kwa wengi na vice versa...muhimu ni aangalie tukio lililopo mbele yake kwa wakati huo.
Suala la msiba ni jambo zito na lenye mguso kwa jamii nzima, busara inahitajika kuliko kufuatisha kila wanachokitaka Mashabiki/Wafuasi, Wao wana nafasi yao na yeye vile vile ana ya kwake mbele ya jamii.
Ni vizuri akatafakari ni kwa nini ameandamwa yeye na si wengine? nani kahangaika na jide kwa mfano.
Diamond alipaswa kuonyesha mapema kuwa amechukua mwelekeo tofauti mara tu baada ya msiba, sio lazima kwamba angemposti ama vipi...ila bado kuna mengi angeweza kufanya tena kwa busara tu.
Diamond anaangaliwa na kufuatiliwa na wengi haswa kwa ulimwengu huu wa mtandaoni, awe makini sana na mwenendo wake haswa kwa yale yanayohitaji busara.
Mondi kaenda mwishoni siku ya kuaga bado mnaongea,Makonda kashiriki mwanzo mwisho na kulia kalia bado mmemwita mnafiki,Jide hajaenda kabisa katika msiba mnamwita ana roho mbaya.Hivi mlitaka Diamond afanyeje.
Alafu unamlaumu Jide ,Jide alifiwa na mama yake mzazi lakini si staff wa CMG wala marehemu walioenda kwenye msiba Jide,lkn sijaona watu kuwalaumu CMG.