Hiyo ipo hivyo kila siku. Kwenye mkutano kama huo wajumbe inabidi wajitegee nauli naa acxomodation(kwa wachache wa mbali). Kinachofanyika ni mtu mwenye nia ya kutaka ubunge mostly ndio huwawezesha hao wajumbe. System hiyo inatumiwa hata marekani huko, sio jambo la kushangaza.