Kamanikweli maanayake ni mill 40.
Je, kama angeamua kujenga darasa moja ama kununulia vitanda vya wagonjwa hospital, hiyo pesa ingesaidia wananchi wangapi katika eneo husika jimboni na kwamuda gani!.
Nakwakuwapa wajumbe elf 50 inamsaidia mjumbe nini na kwamuda gani.
Sent from my Infinix X6511B using
JamiiForums mobile app