Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale

Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa anachukua Form mwenyekiti akimkubali basi ndio anakuwa mbunge, maana hakuna uchaguzi wa haki uliotokea ilikuwa one man say.

Mwendazake alikuwa anasema tu nileteeni huyu na huyu, jaji Lubuva na washirikia wake huko wakurugenzi na kina Polepole wanapitisha tu.

Leo hii tuna mbunge kama babu tale asiye jua ata Bunge lina kazi gani?

Mwendazake alikuwa anatupeleka kuleee shimoni kabisa.

Babu tale, Babu tale, Babu tale nimekwita mara tatu, tumia vuzuri pesa zako za posho 360k za kila siku unazopata hapo bungeni kwa ajiri ya mitano ya baadae.

Tumia vizuri hiyo 10 M ya kila mwezi kama mshahara wako wa ubunge kwa ajiri ya mitano ijayo. Pia utumie vizuri kiinua mgogo chako cha karibia 250M ya ubunge wako punde tu baada ya Rais wa JMT kuvunja Bunge mwaka 2025.

Usidhubutu, usidhubutu, usidhubutu, kurudia tena kuutaka ubunge utamaliza pesa zako za posho, mshahara na kiinua mgogo buree na Ubunge hautaupata tena.

Utapata wafuasi wengi wa kukushawishi ugombee tena. Hao hawana wema watakuwa tu wanataka kuchuma mali kutoka kwako wapuuze waambie tu Mitano uliyohudumu kazi ya ubunge kwako yatosha unaenda kupumzika.

Ukifanya hivyo utanishukuru baadae.

CCM imerudi kwa wenyewe na soon mtaona makucha yao.

Cc Zero IQ
Kiukweli hata mimi huwa najiuliza sana iliwezekana vipi tale kuwa mbunge. Yule jamaa namfahamu sana kichwani hamna kitu kabisa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee wala wasisubutu nitawalamba wabunge wote wa viti maalumu pale bungeni plus watoto zao pia

Utawalamba au mtalambana😮😮😮😮😮😮
Mimi nafikiri hicho ni kitendo shirikishi tena kwa makubaliano
 
Yule jamaa ni hewa na hajuagi hata kuchangia hoja
Bingwa ndumba tu kwa wasanii ....na kuzuia mvua ukitaka kutoka yeye akupeleke wachawi zaidi hapo hakuna ajualo...mmkewe RiP kamtoa kafara apate ubunge shame....
 
Jamaa alisema : “itategemea atakavyoamka siku ya kupitisha majina ya kura za maoni”

[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom