Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

Ogopa sana una bunge ambalo ukiletwa muswada au bajeti yeye pages hata 20 hawasomi wala kujaribu kuchambua kuelewa kilichomo ndani wao wanajua kupitisha na kumsifia Raisi na serikali yake wenye akili wanabaki wanashangaa tu aina ya uwakilishi yaani badala ya kuwawakilisha wananchi wao wanakua Kama wanaiwakilisha serikali dah tupo kwenye kipindi kigumu sana
 
Dr Babu tale
 
Diamond akiutakiwa kulipa kodi anajificha kwenye mwamvuli wa kuwa na huyo mbunge wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…