Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Kwani Babutale ana elimu gani tuanzie hapo kwanza ndio tujue katumwa au imekuaje
 
Umenena jambo zito mnoo
 
Hii comment yako imesukumwa na pepo baya linalokupeleka puta.
Unataka kutuaminisha kwamba bila kuwa mbunge hawezi kuishi vizuri sio?
Kwani sasa hivi ni mbunge?
Maisha yake yanaenda ama yamekwama?
Kiutaratibu wa binadamu aliyefiwa ni lazima asimamishe mambo yake kwa muda ndio maana halisi ya kuanua tanga, sasa yeye hata siku bado au kamtoa mwenzake kafara ili akashindanie ubunge?

Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
 

Unataka kuniambia kua Tale hakuwa na msaada kwa mke wake? Una uhakika? Ni stori tu hizo unaziskia kwa watu mkuu.
 
Anapiga kambi! Kwani ameshapitishwa na chama? Au ndio michakato ya Mwanzo
 
Kweli aisee japo si jambo jema kujudge mtu ila kuna muda nilishangaa pale ndo wanaenda kupanda gari waondoke kwnd kibaha akapiga ukunga fulani halafu within a second kuna mtu alimgusa mgongoni aligeuka mweupee hana hata lepe la huzuni akamkumbatia .Any way Mungu anisamehe kama nilivyoona na navyodhani ni ndivyo sivyo.
 
Aliyekufa kafa maisha lazima yaendelee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.
 
Fala we we. U got a very little understanding of the things of the spirit.

U have pronounced a satanic decree against yourself.

Futa uchafu ulio andika haraka Sana.
U have cursed urself.
Ur a kind of a father who can call his son " Mateso"
 
Eti picha nzuri kwa jamii.

Jamii hii ambayo mtu akifulia inachoweza kukusaidia ni majungu tupu
 
Ukiwataka kujua tabia halisi za watanzania walio wengi , angalia post 1 hadi 100 kama sample.
Utaona mawazo yao yamejaa kwenye
1. Uvivu wa fikra
2. Wivu
3. Kupiga majungu
4. Kupenda udaku
5. Kufuatilia maisha ya watu
6. Unafki
7. Ushirikina
8. Ignorance
9. Kutokunitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…