Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili hana huyoWe nae kama we huamini mi naamini vipo ok?
Katika msiba anasema hivyo ??Na yule fupi nyundo sallam alikua anapiga kampeni tu pale mara tumepigiwa simu na rais mara unafaa kushika uongozi mkubwa hivi kanajielewa kale kajamaa
Umenena jambo zito mnooHata kama ubunge unalipa, ndy lishatokea hilo la msiba mbele yake,,,anapaswa aachane nalo hilo,,,imeshakuwa mkosi huo,,,na kama ataendelea na mipango yake hiyo? basi hicho kifo cha mkewe ni sehemu ya mipango ya babu tale kugombea ubunge,,,,damu ya mtu ni nzito sana...hiyo story ya babu tale ni sawa na wale majambazi waliovamia sehemu wakafanya ubakaji na uuaji kisha wakatokomea,,, halafu asubuhi yake wakafuata mapanga yao walioyasahau Jana,,,, hyo yote ni nguvu za roho za marehemu,,,ubaya unajidhihirisha waziwawazi...
[emoji28][emoji28]Na yule fupi nyundo sallam alikua anapiga kampeni tu pale mara tumepigiwa simu na rais mara unafaa kushika uongozi mkubwa hivi kanajielewa kale kajamaa
Haya basi kamsaidie kupiga kampenikutangaza nia ya kugombea.nayo inataka hadi arobaini IISHE?
Msipangje watu jinsi ya KUISHI.
Maana haya mnayosema hayapo kwenye biblia wala quran
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hii comment yako imesukumwa na pepo baya linalokupeleka puta.Kwa hio mama akifariki.. baba asiende kutafuta kazi kwa ajili ya watoto wake waishi maisha mazuri?
Huyo huyo babu tale watoto wake wakikosa ada mtamsema mtandaoni..
Hujui ubunge unalipa sana... unajua watoto wa wabunge wanavyoishi maisha mazuri.. sasa babu tale kuwatafutia hayo maisha watoto wake mnamponda. Mnajifanya hamjui ubunge unapatikana kwa kugombea jimboni na sio kila siku kuna mda wake.. babu tale akichelewa aseme amlilie mkewe itambidi asubiri tena hadi 2025.. huku hio miaka mitano watoto wanasota maisha ya kubahatisha.. hadi diamond ampe posho
umeruka point ya msingi yani unataka kufika kigoma ila unazungukia marekani
unasema kua autafute ubunge ili awe na maisha mazuri, ndio nauliza hayo maisha mazuri hajawapa wanae au na mkewe akiwa bado yupo hai? Mume upo ila mkeo anazunguka kuomba msaada kwanini...
Hakika mkuuUmenena jambo zito mnoo
Anapiga kambi! Kwani ameshapitishwa na chama? Au ndio michakato ya MwanzoWasalaam,
Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM.
Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia, na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye akasahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana.
Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale anatarajia kwenda kuweka kambi Morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa Morogoro Mjini.
Hapo sasa kwa uimbaji ule wa vee aache kutoboa kweli kama sio walishamchezea mpk nyimbo zake haziendi mbali. Yani umaarufu ni shidaVee alisema ukweli tukamcheka
Kweli aisee japo si jambo jema kujudge mtu ila kuna muda nilishangaa pale ndo wanaenda kupanda gari waondoke kwnd kibaha akapiga ukunga fulani halafu within a second kuna mtu alimgusa mgongoni aligeuka mweupee hana hata lepe la huzuni akamkumbatia .Any way Mungu anisamehe kama nilivyoona na navyodhani ni ndivyo sivyo.Hasa alipokuja Mh. flani ambaye ameachiwa jukumu la watoto na ambapo Mke alienda kule kuacha wosia basi kilio kikapandishwa weeeeeee.....lakini ukiendelea kuangalia picha na matukio unaona kabisa ni mapichapicha..................mbaya zaidi haya mambo hayajifichi SIJUI NI KWANINI
[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.Kweli aisee japo si jambo jema kujudge mtu ila kuna muda nilishangaa pale ndo wanaenda kupanda gari waondoke kwnd kibaha akapiga ukunga fulani halafu within a second kuna mtu alimgusa mgongoni aligeuka mweupee hana hata lepe la huzuni akamkumbatia .Any way Mungu anisamehe kama nilivyoona na navyodhani ni ndivyo sivyo.
Fala we we. U got a very little understanding of the things of the spirit.Aisee mm mke wangu akifa itanichukua miaka 3 mpaka 4 kuja kukaa sawa kiakili na hii timu ya mpira ya watoto 6 nilio nayo mbn nitapagawa nitalia na kugalagala kama mtoto mdogo japo mke wangu anamapungufu Mengi mno lakini nitapagawa na kudata mno nitamkubuka kwa Mengi sana hasa nikiwa namuangakia uyu mtoto wa mwisho binti wa miaka 2 aisee nitadata mno yani nikiwa nakiangalia kitanda nitakuwa silala aisee nitakuwa
Nawaza nitamtania nani?,nitapikiwa na nani?,nitafuliwa nguo na nani,?nitanyolewa kipara changu cha kichwani na nani dongo,?nitanyolewa ndevu na nani mana nature ya kazi yangu ndevu kila wiki na nyoa tena zote na iyo kazi ya wife.,?nitakatwa kucha zangu na kusuguliwa miguu na nani.,?? Aisee ni Mengi sitachanganyikiwa mno
Acha kabisa kusu mke wewe wanatusumbua lakini wao ndo kila kitu ndani ya nyumba...MUNGU muweke mke wangu tuzeeke pamoja..
POLE babu tale kwa kipindi iki kigumu mke anauma mno...japo wanawake wapo wengi kumpata mtu sahihi ni ishu sana...
Eti picha nzuri kwa jamii.Wasalaam,
Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM.
Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia, na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye akasahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana.
Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale anatarajia kwenda kuweka kambi Morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa Morogoro Mjini.
Maskini tuna mambo mengi sana ya kutupotezea mudaWatakua ni wapuuzi sasa..kufiwa kumesha tokea,hawezi kubadirisha hiyo,sasa asipoendelea na mambo mengine atamfufua marehemu?tabia za kiafrika zingine hazina mashiko