Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hata wewe kumbe una akili mbovu kiasi hicho, kila mnachosimuliwa mnaki internalize kama kilivyo.Inasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipo
Kwa mfano amefanya ushirikina upi?
Vilaza kama huyo ni mtaji wa ccmKumbe mna 'kanuni' zenu maalumu za kuomboleza na kulia japo mmetoka katika background na maisha tofauti?
Huyu jamaa mbinu aliyotumia ya kimataifa, pamoja na kwamba kuna nguvu mbadala, ila anatumia sympathy(huruma), hivyo wale wapambe wake anawatumia kutuma post kwenye mitandao ya kijamii kumhurumia na kumuambia aendelee na plan zake za ubunge, kwahio sio kwamba watu wanahitaji mtu sahihi kuwaletea maendeleo moro vijijini bali watasukumwa na huruma. pia ignorance inaingia mana wengi vijijini sidhani kama wanajua thamani ya kua na mwakilishi wao ambaye atawakilisha shida zao bungeni, you didint handle your family, speaking of your wife, would you handle citizens and represent them in parliament..mimi naona ubunge its for his own selfishness reasons.[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.
Waambie Maguduli alifiwa na waziri wake leo, siku iliyofuata akateua waziri mwingine. Na kesho kutwa yake akamuapisha.Kwani hawezi kuomboleza huku anaendelea na shughuli zake? Kwani Mbunge/Kiongozi akifiwa na Mwenza na shughuli zote huwa zinakoma?
una undugu na tale au shemejio nini mbona naona thread zote zinazomuhusu una umia roho kweli kweliHata wewe kumbe una akili mbovu kiasi hicho, kila mnachosimuliwa mnaki internalize kama kilivyo.
Ipo siku mtu atakwambia wewe ni mwanamke, japo wewe ni mwanaume, utaenda kwenye kioo kujiangalia kama ulichoambiwa ni kweli au sio kweli
Aiseeeh jf imejaa makokoroKwa prof jay kaa kimya, tuna files zake. Na ushahidi toshaaah
Unaliamsha dudeHuyo prof anatokea kijijini kwetu Songea, siwezi kueleza maana hausiki hapa yeye.
Talle ubunge anautaka ili awe tajiri, na sio kusaidia wananchi,Huyu jamaa mbinu aliyotumia ya kimataifa, pamoja na kwamba kuna nguvu mbadala, ila anatumia sympathy(huruma), hivyo wale wapambe wake anawatumia kutuma post kwenye mitandao ya kijamii kumhurumia na kumuambia aendelee na plan zake za ubunge, kwahio sio kwamba watu wanahitaji mtu sahihi kuwaletea maendeleo moro vijijini bali watasukumwa na huruma. pia ignorance inaingia mana wengi vijijini sidhani kama wanajua thamani ya kua na mwakilishi wao ambaye atawakilisha shida zao bungeni, you didint handle your family, speaking of your wife, would you handle citizens and represent them in parliament..mimi naona ubunge its for his own selfishness reasons.
Kwa hiyo anagombea ubunge kwa ajili ya watoto Wake sio?!Kwa hio mama akifariki.. baba asiende kutafuta kazi kwa ajili ya watoto wake waishi maisha mazuri?
Huyo huyo babu tale watoto wake wakikosa ada mtamsema mtandaoni..
Hujui ubunge unalipa sana... unajua watoto wa wabunge wanavyoishi maisha mazuri.. sasa babu tale kuwatafutia hayo maisha watoto wake mnamponda. Mnajifanya hamjui ubunge unapatikana kwa kugombea jimboni na sio kila siku kuna mda wake.. babu tale akichelewa aseme amlilie mkewe itambidi asubiri tena hadi 2025.. huku hio miaka mitano watoto wanasota maisha ya kubahatisha.. hadi diamond ampe posho
Bongo suala la elimu ya darasani sio hoja ya msingi, wana ma phd za darasani lakin wanapitwa busara na watu wenye phd za kitaani.Kwani Babutale ana elimu gani tuanzie hapo kwanza ndio tujue katumwa au imekuaje
Wee unadhan kwamba naropoka? Poleeeeeh huyu prof namjua tangu babu yake hadi vitukuu vyake, kwao napafahamu kinaga ubaga, na watoto wa ndugu zake nimesoma nao. Ila siwezi kuelezea hapa couz hausiki yeye. Tunajadili kuhus talle.Unaliamsha dude
Baada ya kushindwa kulizima , unahamisha magoli
Kokoro ni wee ambaye unaumia kwa mambo ambayo huusiki nayo, si tunatoa ukweli na uwazi, kwan vepeeeeeh? Unateseka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeeh jf imejaa makokoro
Nitajie mbunge aliyegombea ubunge kwa prime aim ya kusaidia wananchi pasipo kutanguliza maslahi yake kwanza.Talle ubunge anautaka ili awe tajiri, na sio kusaidia wananchi,
Kati ya mimi na nyinyi nani anaumia ?Kokoro ni wee ambaye unaumia kwa mambo ambayo huusiki nayo, si tunatoa ukweli na uwazi, kwan vepeeeeeh? Unateseka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haatari na nusu[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.
Mbona umenijia juu mkuu ... Mimi kosa langu nilipi ?? Hivi unaelewa maana ya kusadikika ... Kweli ?? Kusadikika ni taarifa ambazo zinaweza kuwa za kweli au la.. So Mimi kosa langu ni lipi hapo '. ? Kutoa content inayosema namna baadhi ya watanzania wanavyo muongelea tale au ? Nilipi ??Hata wewe kumbe una akili mbovu kiasi hicho, kila mnachosimuliwa mnaki internalize kama kilivyo.
Ipo siku mtu atakwambia wewe ni mwanamke, japo wewe ni mwanaume, utaenda kwenye kioo kujiangalia kama ulichoambiwa ni kweli au sio kweli
Jibu halikuhusu linamuhusu alieuliza fuatilia juu hapoKwa mfano amefanya ushirikina upi?
MkuuMbona umenijia juu mkuu ... Mimi kosa langu nilipi ?? Hivi unaelewa maana ya kusadikika ... Kweli ?? Kudadikika ni taarifa ambazo zinaweza kuwa za kweli au la.. So Mimi kosa langu ni lipi hapo '. ? Kutoa content inayosema namna baadhi ya watanzania wanavyo muongelea tale au ? Nilipi ??
Wabunge wengine walikuwa na malengo ya kuwakomboa wanachi wao ila wakageuka ndan ya madaraka, ila huyu talle yeye ameonesha wazi kuwa anautaka ubunge ili awe mkwasi.Nitajie mbunge aliyegombea ubunge kwa prime aim ya kusaidia wananchi pasipo kutanguliza maslahi yake kwanza.