Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Inasadikika jamaa alimtoa kafara mpaka mdingi wake ...na hivi yupo na yule domo basi kazi ipo
Hata wewe kumbe una akili mbovu kiasi hicho, kila mnachosimuliwa mnaki internalize kama kilivyo.

Ipo siku mtu atakwambia wewe ni mwanamke, japo wewe ni mwanaume, utaenda kwenye kioo kujiangalia kama ulichoambiwa ni kweli au sio kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.
Huyu jamaa mbinu aliyotumia ya kimataifa, pamoja na kwamba kuna nguvu mbadala, ila anatumia sympathy(huruma), hivyo wale wapambe wake anawatumia kutuma post kwenye mitandao ya kijamii kumhurumia na kumuambia aendelee na plan zake za ubunge, kwahio sio kwamba watu wanahitaji mtu sahihi kuwaletea maendeleo moro vijijini bali watasukumwa na huruma. pia ignorance inaingia mana wengi vijijini sidhani kama wanajua thamani ya kua na mwakilishi wao ambaye atawakilisha shida zao bungeni, you didint handle your family, speaking of your wife, would you handle citizens and represent them in parliament..mimi naona ubunge its for his own selfishness reasons.
 
una undugu na tale au shemejio nini mbona naona thread zote zinazomuhusu una umia roho kweli kweli
 
Huyu jamaa mbinu aliyotumia ya kimataifa, pamoja na kwamba kuna nguvu mbadala, ila anatumia sympathy(huruma), hivyo wale wapambe wake anawatumia kutuma post kwenye mitandao ya kijamii kumhurumia na kumuambia aendelee na plan zake za ubunge, kwahio sio kwamba watu wanahitaji mtu sahihi kuwaletea maendeleo moro vijijini bali watasukumwa na huruma. pia ignorance inaingia mana wengi vijijini sidhani kama wanajua thamani ya kua na mwakilishi wao ambaye atawakilisha shida zao bungeni, you didint handle your family, speaking of your wife, would you handle citizens and represent them in parliament..mimi naona ubunge its for his own selfishness reasons.
Talle ubunge anautaka ili awe tajiri, na sio kusaidia wananchi,
 
Kwa hio mama akifariki.. baba asiende kutafuta kazi kwa ajili ya watoto wake waishi maisha mazuri?

Huyo huyo babu tale watoto wake wakikosa ada mtamsema mtandaoni..

Hujui ubunge unalipa sana... unajua watoto wa wabunge wanavyoishi maisha mazuri.. sasa babu tale kuwatafutia hayo maisha watoto wake mnamponda. Mnajifanya hamjui ubunge unapatikana kwa kugombea jimboni na sio kila siku kuna mda wake.. babu tale akichelewa aseme amlilie mkewe itambidi asubiri tena hadi 2025.. huku hio miaka mitano watoto wanasota maisha ya kubahatisha.. hadi diamond ampe posho
Kwa hiyo anagombea ubunge kwa ajili ya watoto Wake sio?!
Ndio maana bunge limejaza vilaza kazi yao kuitikia ndioooo na kugonga meza as long as posho zinaingia na watoto wao wanaishi maisha mazuri.
They don’t care about poor Tanzanias who suffer everyday under poverty, Ignorance and diseases.
Tuna safari ndefu kama taifa🤦‍♂
 
Unaliamsha dude
Baada ya kushindwa kulizima , unahamisha magoli
Wee unadhan kwamba naropoka? Poleeeeeh huyu prof namjua tangu babu yake hadi vitukuu vyake, kwao napafahamu kinaga ubaga, na watoto wa ndugu zake nimesoma nao. Ila siwezi kuelezea hapa couz hausiki yeye. Tunajadili kuhus talle.
 
Kokoro ni wee ambaye unaumia kwa mambo ambayo huusiki nayo, si tunatoa ukweli na uwazi, kwan vepeeeeeh? Unateseka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya mimi na nyinyi nani anaumia ?

Off course sihusiki kwenye ujinga wenu wa kuamini ushirikina so possibly wewe unahusika na hizo mambo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee hukumuona alivokuwa anazurura pale barabaran kuitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kuongoza safari? Nlibaki hoi kwa kweli khaaaah.
Haatari na nusu
 
Hata wewe kumbe una akili mbovu kiasi hicho, kila mnachosimuliwa mnaki internalize kama kilivyo.

Ipo siku mtu atakwambia wewe ni mwanamke, japo wewe ni mwanaume, utaenda kwenye kioo kujiangalia kama ulichoambiwa ni kweli au sio kweli
Mbona umenijia juu mkuu ... Mimi kosa langu nilipi ?? Hivi unaelewa maana ya kusadikika ... Kweli ?? Kusadikika ni taarifa ambazo zinaweza kuwa za kweli au la.. So Mimi kosa langu ni lipi hapo '. ? Kutoa content inayosema namna baadhi ya watanzania wanavyo muongelea tale au ? Nilipi ??
 
Mbona umenijia juu mkuu ... Mimi kosa langu nilipi ?? Hivi unaelewa maana ya kusadikika ... Kweli ?? Kudadikika ni taarifa ambazo zinaweza kuwa za kweli au la.. So Mimi kosa langu ni lipi hapo '. ? Kutoa content inayosema namna baadhi ya watanzania wanavyo muongelea tale au ? Nilipi ??
Mkuu
Be honest.
Tukiachana na hicho unakiita kusadikika lakini michango yako kwenye suala hilo inajieleza wazi kwamba unaamini yaliyomo yamo
 
Nitajie mbunge aliyegombea ubunge kwa prime aim ya kusaidia wananchi pasipo kutanguliza maslahi yake kwanza.
Wabunge wengine walikuwa na malengo ya kuwakomboa wanachi wao ila wakageuka ndan ya madaraka, ila huyu talle yeye ameonesha wazi kuwa anautaka ubunge ili awe mkwasi.
 
Back
Top Bottom