Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Lakini umesema tu wanafiki huku na wewe unashiriki unafiki huo huo, Sasa tukueleweje jomoni by the way huku changamsha genge kusogeza mda tu wa masaa.
 
Sasa mtu unajiita "Mjinga Mimi" Huoni watu tunapoteza muda kukuhabarisha mtu Mjinga Sampuli Yako.
 

Mkuu ilitokea wapi na lini?
 
Mkuu ilitokea wapi na lini?
Kuna jamaa fulani waliiba ,,wakabaka na kuua Dada Fulani hivi usiku,,, jambazi mmoja asubuhi akafata panga lake alilisahau Jana,,,,,watu wakapiga hadi umauti...ni muda sana hata miaka kumi imepita ,,,sikumbuki vzr ila maeneo ya goba kama sikosei,,,,damu ya mtu haiendi bure
 
Watz kafara haipo Taletale ajatoa kafara acheni uzushi @Victorie stories zako za uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…