Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Ningekuwa nasapoti haya mnayosema ndo ungesema ni umbea.
Mwanaume hauwezi ukakaa kujadili maisha ya mwenzio. Hata kama babu tale kafanya hayo mnayosema mwanaume wa kweli hawezi kushangaa maana ni mambo ya dunia yapo.
Ila muwe na uhakika.
Na msimpangie mtu aishi vipi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Lakini umesema tu wanafiki huku na wewe unashiriki unafiki huo huo, Sasa tukueleweje jomoni by the way huku changamsha genge kusogeza mda tu wa masaa.
 
Ningekuwa nasapoti haya mnayosema ndo ungesema ni umbea.
Mwanaume hauwezi ukakaa kujadili maisha ya mwenzio. Hata kama babu tale kafanya hayo mnayosema mwanaume wa kweli hawezi kushangaa maana ni mambo ya dunia yapo.
Ila muwe na uhakika.
Na msimpangie mtu aishi vipi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sasa mtu unajiita "Mjinga Mimi" Huoni watu tunapoteza muda kukuhabarisha mtu Mjinga Sampuli Yako.
 
Hata kama ubunge unalipa, ndy lishatokea hilo la msiba mbele yake,,,anapaswa aachane nalo hilo,,,imeshakuwa mkosi huo,,,na kama ataendelea na mipango yake hiyo? basi hicho kifo cha mkewe ni sehemu ya mipango ya babu tale kugombea ubunge,,,,damu ya mtu ni nzito sana...hiyo story ya babu tale ni sawa na wale majambazi waliovamia sehemu wakafanya ubakaji na uuaji kisha wakatokomea,,, halafu asubuhi yake wakafuata mapanga yao walioyasahau Jana,,,, hyo yote ni nguvu za roho za marehemu,,,ubaya unajidhihirisha waziwawazi...

Mkuu ilitokea wapi na lini?
 
Mkuu ilitokea wapi na lini?
Kuna jamaa fulani waliiba ,,wakabaka na kuua Dada Fulani hivi usiku,,, jambazi mmoja asubuhi akafata panga lake alilisahau Jana,,,,,watu wakapiga hadi umauti...ni muda sana hata miaka kumi imepita ,,,sikumbuki vzr ila maeneo ya goba kama sikosei,,,,damu ya mtu haiendi bure
 
Back
Top Bottom