Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

[emoji16][emoji16][emoji16]hizi tunaita rough calculation,bahati mbaya hazina uhalisia zaidi ya showoff.
 
Watanzania tuna ujuaji mwingi.tuko bize na maisha ya mtu mwingine kuliko maisha yetu..
Mara ohooo kamtoa kafara mkewe ili ashinde ubunge sasa wewe inakuhusu nini?


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mkuu , hilo jina lako la avatar,,, na akili zako za kufikiria,,,,aibu naona Mimi..
 
Haya mambo ya kafara mnayaongea mna ushahidi nayo?.
Sisi humu ndani ni watu wazima.
Tusipelekeshane kama watoto.
Unapotaka kuwaaminisha watu kitu ni LAZMA UWE NA USHAHIDI.
Vinginevyo itakuwa ni KUMUONEA BABU TALE.
kosa lake ni lipi kutangaza kugombea ubunge baada ya mkewe kufa ndo maana mnasema kamtoa kafara.?.
JE ASINGETANGAZA KUGOMBEA UBUNGE MNGEYASEMA HAYO YA KAFARA?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yap comrade, am not going to be biased with those who blame tale, funerals are ceremonies and when you take a look on our culture there are minimum number of days he should overstay there more than three days, am sure he walked out even before the arrival of some mourners who live far from moro, why didn't he wait for sometimes?
 
Acha nicheke khaahaaaaaaaa haaaaaa uyo anajisumbua awezi kabisa kumtoa abood bus hapo Youngtong ndani ya nyumba labda aenda akagombanie samvura chore
Umejiona mjaaaanja kweli. Yaani hata hujasoma kuwa yeye Tale anataka kugombea Morogoro vijijini wakati Abood ni wa Morogoro mjini.
 
Hivi mkuu suala la kafara ni yeye tale na mganga wake,,,sisi wengine ushahidi wa moja kwa moja hatuna,,ila tunaweza kuunganisha dots tukapata hisia kamili za kilicho nyuma ya kugombea ubunge,,,,kwanza inasemekana kulikuwa hakuna mahusiano mazuri baina ya tale na mkewe siku kadhaa kabla ya kifo chake,,ikapelekea mkewe Ku comment post za tale ,,,na ikapekelea babu tale kufuta post hizo.,,pia kitendo cha maigizo ya kilio cha babu tale inaonyesha kwa jinsi gani tukio la kifo cha mkewe halipo moyoni mwake,,,na mwisho kabisa tukio la kutangaza nia ya kuendelea na kugombea,,, wakati hata 7 ya mkewe bado,,hapo ndy kazidi kujidhihitisha ulozi wake,,, hakupaswa hata kuzungumzia uchaguzi kwa kipindi hiki,,,hyo ni mlozi mkuu,,
 
NI NGUMU KUAMINI
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Halafu kwani watu before ubunge walikuwa wanaishije?
Maana majority ni raia wa kawaida kwani hatuishi, pesa zipo na zinataftwa tu lakini when ur loved one is gone atleast Kuna kipindi, flani hivi.
[/QU. Asubiri kwa kipindi gani ?
 
Usimwingize Trump huku kabisa wala Anorld na wala Urais hapa hapatawatosha hao wengine sawa waligombea ubunge kupata pesa na huyu mtu wenu Status anayo, umaarufu anao alivyobakiza ni hivyo viwili mafanikio ya kipesa na tamaa ya uongozi
 
Hizo ni tambo tu. Walikuwa wanauza na madawa ya kulevya. Music hauna pesa kihivyo ukizingatia walipe madanser sijui wapiga picha,Dj,wapo mameneja 3 bado kodi. Mengine ni tambo za social media tu. Kiukweli njaa inawapiga. Kina Raynavy anapanga nyumba ya million ili afanye show off tu.Matokeo yake after 3months hana kodi inabidi ahame. Wanamusic Ganda ndo lilikuwa linawasave wengi mapunda wa kina Kinje et al.
 
Sioni kama kuna kitu anakijuwa.
Najua kuna watu huomboleza mwaka, miaka, miezi,wiki na wengine wakishazika tu kesho yake wanaendelea na maisha mengine
 
Sometimes hata matukio yanayojiri baada ya tukio kufanyika ndy hupelekea jamii kuanza kupata wasiwasi..na muhusika
Jamii kuwa na wasiwasi sio justification ya hayo yanayosemwa.

Evidence, Evidence, Evidence....!
 
UTUMWA/UFUNGWA WA KIFIKRA
Hili ni tatizo la kitaifa, hivi ndivyo vijana Wakitanzania wanavyoshi mitaani. Vijana ni waoga katika kufanya maamuzi binafsi wakihofia kukosolewa, kuchekwa, kusimangwa na jamii inayowazunguka. Tangu akiwa mtoto mdogo kijana wa Kitanzania anakuzwa kwenye misingi ya kufanya mambo yake kwa kuangalia "macho"na "mawazo" ya watu wengine, yaani kijana anakuzwa kutenda mambo yaliyo sahihi machoni na mawazoni mwa watu wanaomzunguka. Hii kitu imepelekea Tanzania kwa ujumla tuwe na taifa la watu tegemezi tangu kuzaliwa mpaka kuingia kaburini. Uhuru wa kifikra ni jambo la msingi sana katika maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Uhuru wa fikra ni silaha kuu katika vita dhidi ya ujinga, naam na adui mkubwa wa Tanzania na Afrika kwa ujumla ni huyu ujinga, hakuna maendeleo yatakayopatikana kutoka kwenye taifa la watu wajinga. Kuwa huru kifikra, tokomeza ujinga, maendeleo yatakuja.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tusameheane kwa povu, turudi kwenye mada iliyopo mezani. Huyu Babu Talent ni mtu wa ajabu kwelikweli yaani!!! Hivi haoni hata aibu!!? Watanzania tutamfikiriaje katika hili!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…